MEYA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI MSAADA WA VYAKULA KWA VITUO VYA YATIMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mfR3pY3jdbY/VJxjIa5w4ZI/AAAAAAAG5zA/ulf_OqOGmI4/s72-c/001.jpg)
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda amekabidhi msaada wa vyakula wenye thamani ya shilingi milioni 2.5 kwa vituo vitatu vya kulelea watoto yatima vilivyopo kwenye Manispaa yake, Dar es Salaam ambavyo ni Missionary of Charity cha Mburahati, Almadina Children Home na Mwandaliwa Orphanage Centre cha Mbweni na kuwataka watu wenye uwezo kujitokeza kuvisaidia vituo hivyo ikiwemo kuasili watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Missionary of Charity.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI ZAWADI ZA PASAKA KWA YATIMA
Akikabidhi msaada huo Meya Yusuph Mwenda aliwataka watanzania kuwa na moyo wa kusaidia watoto hao hususan katika msimu wa Sikukuu ikiwa ni njia mojawapo ya kuwafariji watoto hao.
“Hakuna anayependa kuona watoto hawa wanaongezeka mitaani, Na...
5 years ago
MichuziBenki ya Exim Yatoa Msaada wa Vyakula Kwa Ajili Ya Sikukuu ya Eid Kwenye Vituo Vya Kulelea Watoto Yatima Mikoa ya Minne.
Ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) unaotekelezwa na benki hiyo unaofahamika kwa jina "Exim Cares", msaada huo ulilenga kuwawezesha watoto hao waweze kufurahia Sikukuu ya Eid-Ul-Fitr.
Kwa upande wa jiji la Dar es Salaam...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2inSDNpbgZ0/U9JcmslRlaI/AAAAAAACmOA/HmEmYqimzxk/s72-c/Chakuwama_Said+Hassan%2528Chakuwama%2529.jpg)
PSPF YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-2inSDNpbgZ0/U9JcmslRlaI/AAAAAAACmOA/HmEmYqimzxk/s1600/Chakuwama_Said+Hassan%2528Chakuwama%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-I9vfyf3mGko/VZvY7QMaKCI/AAAAAAAHnjo/EVLp8MzLMyM/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akabidhi soko jipya la SIMU 2000 kwa wafanyabiashara
10 years ago
VijimamboMEYA WA MANISPAA YA KINONDONI AKABIDHI SOKO LA MAWASILIANO SIMU 2000
Na Mwandishi wetu
MSTAHIKI Meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusufu Mwenda amesema kuwa soko jipya la SIMU 2000 litaweza kuchukua wafanyabiashara 512 kutoka kila pembe ya manispaa ya kinondoni.
Mwenda amewatoa hofu wafanyabiashara wa soko jipya la kituo cha basi cha Simu2000 mawasiliano ...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WCUJ9OW5V6U/VSrU8wYK1MI/AAAAAAAHQxw/NfNGoYkn2RM/s72-c/FSA_001.jpg)
MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI ASHINDA TUZO YA MEYA BORA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WCUJ9OW5V6U/VSrU8wYK1MI/AAAAAAAHQxw/NfNGoYkn2RM/s1600/FSA_001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s2sotdyf83k/VSrU9HupzsI/AAAAAAAHQx0/sEbsf-aZHdE/s1600/FSA_003.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/hFvvNEUpFUY/default.jpg)
KAMPUNI ya Msama Promotions YATOA MSAADA WA VITU MBALI MBALI KWA VITUO 10 VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR
KAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu katika jamii.
Akikabidhi misaada hiyo katika ofisi zake zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Msama alisema misaada hiyo ni sehemu ya fedha za mauzo ya DVD za Tamasha la Pasaka la mwaka huu.
Msama alisema kupitia mauzo ya DVD za Tamasha hilo ambalo lilifanyika April 6 katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es...
5 years ago
MichuziWANAWAKE WAPWANI GENERATION WATOA MSAADA WA VYAKULA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIBAHA
NA VICTOR MASANGU, KIBAHAWatoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu katika kituo cha Sharom kilichopo kata ya Msangani Wilayani Kibaha Mkoani Pwani wamemuomba Rais Dk. John Pombe Magufuli kuwasaidia kwa hali na mali kuwasaidia kuwatatulia changamoto mbali mbali zinazowakabili ikiwemo ukosefu wa mahitaji ya chakulai,nguo, huduma za matibabu pamoja na ujenzi wa jengo la nyumba kwa ajili ya kuweza kuishi.
Baadhi ya watoto hao akiwemo Sara Yendemba Dickson Michael na wakizungumza...