MFANYABIASHARA KUTOKA TANZANIA BWA. HASHIMU LEMA AMTEMBELEA MHE. OMAR MJENGA OFISINI KWAKE DUBAI
Bwa. Hashimu Lema, mfanyabiashara anayemiliki kampuni ya ujenzi ya Comfix, amemtembelea Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, ofisini kwake.
Mhe. Mjenga amemfahamisha fursa nyingi zilizopo Dubai na Ukanda wa Ghuba kwenye sekta hii ya ujenzi, ambako kampuni kutoka Tanzania wanaweza kuwa ni mikataba ya ushirikiano nazo katika utekelezaji wa miradi mbali mbali Tanzania. Njia hii pia itasaidia kuwajengea uwezo na kupata mbinu za teknolojia mpya ( technological Transfer).
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMhe. Omar Mjenga amtembelea mhe. Modest Mero ofisini kwake
10 years ago
MichuziMhe. Omar Mjenga akutana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai (NAKHEEL) Bwa. Rashid Lootah.
Katika mazungumzo yao, wamezungumzia ziara ya Mwenyekiti huyo pamoja na ujumbe wake kuitembelea Tanzania, itakayofanyika kuanzi tarehe 16-20 Septemba, ambako anatarajia pamoja na kuonana na baadhi viongozi wa Serikali, watafanya mazungumzo na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) yatakayowezesha kusainiwa makubaliano ya...
11 years ago
MichuziBalozi adadi amtembelea balozi mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga
10 years ago
VijimamboMhe. Balozi Modest Mero amtembelea Mhe. Balozi Mdogo Omar Mjenga, Dubai.
Katika picha ni Mhe. Modest Mero, Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva alipomtembelea Mhe. Omar Mjenga kwenye makazi yake Jumeirah Dubai.
11 years ago
MichuziDRAGON MART YA DUBAI WAKUTANA TENA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA
Nia yao pamoja na Wizara, ni kujenga kituo cha ubora( centre of excellency) kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika.
11 years ago
MichuziBalozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai
Mheshimiwa Membe akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...
11 years ago
MichuziBalozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.
Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...
10 years ago
VijimamboMHE. MWAKYEMBE AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA TANZANIA, DUBAI, MHE. OMAR MJENGA
Mhe. Mjenga amemueleza Mhe. Mwakyembe kuhusu mazungumzo yake pamoja na Mhe. Gaith Alghaith, Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la FlyDubai, kuhusu mpango wa shirika hilo kuingia makubaliano ya ushirikiano pamoja na shirika la Ndege la Tanzania(Air Tanzania) ambako Flydubai watatoa ndege tano zitakazochukua njia za ndani (domestic routes) na zile za...
10 years ago
MichuziBALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI MHE. OMAR MJENGA, AKUTANA MTENDAJI MKUU NA RAIS WA FLYDUBAI