MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA LAPF WAZUNGUMZA NA WAADISHI WA HABARI MKOANI DODOMA

Meneja masoko na mawasliano wa mfuko wa jamii wa LAPF, Bw, James Mlowe akifafanua jambo wakati alipokuwa anaongea na waandisha wa habari uliofanyika mjini Dodoma.
Waandishi wa habari wakiwajibika katika ukumbi wa New Dodoma Hotel wakati Meneja masoko na mawasiliano wa mfuko wa jamii wa LAPF James Mlowe alipokuwa akizungumza kuhusu maendeleo ya mfuko huo ambao unazidi kujitanua kutokana na Miradi mbalimbali ikiwemo ya majengo.
Maafisa wa mfuko wa jamii wa LAPF wakiwa katika picha ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MH. SELEMANI JAFO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF DODOMA
10 years ago
Michuzi23 Sep
NI HAKI YAKO KULIPWA HELA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII UNAPOFUKUZWA KAZI.
Na Bashir Yakub
Hela ya mifuko ya hifadhi ya jamii ni hela ambayo mwajiriwa hukatwa kiasi kadhaa katika mshahara wake na mwajiri hutoa kiasi kadhaa na kuhifadhiwa katika mfuko uitwao mfuko wa hifadhi ya jamii. Mfuko wa hifadhi ya jamiii ni kama NSSF, PSPF, LAPF, GEPF n.k. Hii ndio mifuko ya hifadhi ya jamii. Ipo mifuko ya hifadhi ya jamii ambayo huhudumia mashirika ya umma na ipo mingine ambayo huhudumia mashirika binafsi,...
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
9 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
10 years ago
Michuzi
MKUU WA MKOA MH. JOEL BENDERA AZINDUA MFUKO WA AFYA YA JAMII ULIYOBORESHWA (ICHF ) MKOANI MANYARA


10 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
10 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA WAMILIKI WA HOTELI NA NYUMBA ZA WAGENI (GUEST HOUSES) MKOANI DODOMA