Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuko wa Wanyamapori Tanzania wabuni miradi ya maendeleo

Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Bw. John Muya akiwaeleza waandishi wa habari mafanikio yaliyofikiwa na Mfuko huo katika Kupambana na Ujangili katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita. Kaimu mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kuhifadhi Wanyamapori Bw. John Muya akitoa wito kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kushiriki katika mapambano dhidi ya ujangili ili kulinda rasilimali za Taifa ambazo ziko hatarini Kutoweka,Kulia kwake ni Afisa Habari wa Idara ya Habari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Miradi inayokopesheka chanzo cha kupata Mkopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana — Riwa

Mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Ester Riwa katikati akizungumza na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Monduli Bibi. Rose Mhina kulia kabla ya kukutana na vijana wa Kata ya Monduli juu na Kata ya Mfereji kutoa elimu ya ujasiriamali na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo katika Halmashauri ya Monduli Mkoa wa Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele.Mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi....

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kufaidika na Mfuko wa Programu ya Maendeleo ya Kimataifa ya LFI

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka Wizara hiyo Dkt. Deogratius Mtasiwa alipokuwa katika mkutano na Katibu Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Fedha za Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) nchini Judith Karl na wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu kataka...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA YA JAPANI JUU YA MIRADI YA MAENDELEO

Mhandisi Happiness Mgalulla, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (aliyesimama) akisoma hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Kushoto kwake ni Bw. Maduka Kessy, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango. Wengine ni Bibi Florence Mwanri, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (wa kwanza kulia), Bw. Paul Sangawe, Naibu Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais Tume ya Mipango (wa tatu kulia). Picha na maelezo na Thomas Nyindo Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

 

10 years ago

Michuzi

Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

Kiongozi wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Lindi Mathei Makwinya.Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akiwakaribisha wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji waliotembelea mkoa huo kukagua baadhi ya miradi ya Maji iliyopo mkoani humo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Jinsi Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ulivyosaidia kujikwamua katika umasikini Tanzania

DSC05590

Mmoja wa wanufaikaji wa mradi wa kunusuru kaya maskini mkazi wa kijiji cha Mwanga tarafa ya Nduguti wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Agnes Samson,akionyesha mradi wa Mbuzi aliouanzisha kwa fedha za TASAF. Nyuma yake ni Mratibu wa TASAF wilaya ya Mkalama, Athumani Jumanne Dulle.

Watanzania wamekuwa wakipambana kila siku  ili kijikwamua kutoka katika umasikini uliokithili wa kukosa hata milo mitatu na mahitaji muhimu kama afya , maji , malazi , mavazi na elimu. Serikali  ya awamu ya nne...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII AANIKA MAFANIKIO YALIYOPATIKANA KWA KAYA MASIKINI ZILIZOFIKIWA NA MFUKO HUO NCHINI

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii.
MKURUGENZI Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Ladislaus Mwamanga amesema kuwa programu ya TASAF imetekelezwa katika awamu tatu na imekuwa ikitekeleza miradi mbalimbali katika ngazi ya jamii kwa lengo la kupunguza umasikini kwa msingi wa kutoa huduma za jamii katika sekta zote.
Utekelezaji huo umekuwa ukizingatia mahitaji halisi au kero za wananchi wenyewe kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Serikali na kwamba awamu ya kwanza ya TASAF...

 

10 years ago

GPL

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani