Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGUMBA AWATAKA WANANCHI KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO MOROGORO



 Naibu Waziri Wa Kilimo, Ambaye Pia Ni Mbunge Wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe Omary Tebweta Mgumba,Akiongea Na Viongozi Pamoja Na Wananchi Wa Kijiji Mfumbwe Akiwa Katika Ziara Yake Ya Kukagua Miradi Ya Maendeleo Katika Kata Ya Mkuyuni Halmashari Ya Morogoro Vijijini. .Wananchi Wa Kijiji Cha Kibwaya Kata Ya Mkuyuni Halmashauri Ya Morogoro ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAPEWA TUZO KWA KUCHANGIA MAENDELEO YA MKOA WA MOROGORO


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendela kushoto, akimkabidhi  kikombe Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa wakati wa kutoa tuzo zilizotolewa na ULUGURU. Benki hiyo imepata tuzo ya heshima ya Uluguru kutokana na mchango mkubwa uliotolewa na benki hiyo katika kuisaidia jamii ya watu wa Mkoa wa Morogoro.  Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro Pendo Issey katikati wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF IDD AWATAKA WANANCHI KUWAUNGA MKONO VIONGOZI WENYE KULETA MAENDELEO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa Vipaza sauti Amiri  wa Jumuiya ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj iliyopita. (Picha na OPMR)Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman  Iddi akimkabidhi  mchango wa Shilingi 400,000/-  kwa kila kikundi miongoni mwa  vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama vilivyomo ndani ya  Wilaya ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHUMBUNI KWA TIKETI YA CCM AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA NA MAENDELEO



Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Perera Ame Silima akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa mkutano wa Kampeni wa jimbo hilon uliofanyika katika viwanja vya mpira Bamata Kwamtipura Unguja akimuombea Kura Mbunge wa Jimbo hilo Ussi Salum Pondeza AMJADI na Mwakilishi Miraji Kwaza kwa Wananchi wa Chumbuni. Viongozi wa CCM Wilaya ya Amani Unguja wakimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Perera Ame Silima akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Chumbuni katika mkutano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Bilal awataka wadau kuchangia elimu nchini

Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal, amewataka wadau wa elimu kuchangia na kuweka mikakati thabiti ya ubunifu ili kuinua kiwango cha elimu nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kuchangia maendeleo yao

Dar es Salaam.  Naibu Waziri Wanawake, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wananchi kujitolea kuchangia huduma za jamii ili kujiletea maendeleo yao.

 

9 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA AIRTEL WAENDELEA KUCHANGIA MAENDELEO

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akishiriki kupaka rangi katika darasa la Chekechea linalokarabatiwa kwa hisani ya Wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Kumbu Kumbu iliyopo Block 41, jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia) ni Mwalimu wa Shule hiyo, Flossy Mbwilo. Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akishiriki kupaka rangi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani