MH. ISMAIL ADEN RAGE AZUNGUMZA NA MICHUZI TV
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu;Ismail Aden Rage
Fedha za maendeleo ya jimbo Sh40 milioni kila mwezi sawa na Sh480 milioni kwa mwaka zimefanya shughuli gani hadi sasa?
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Aden Rage aibuka ‘mafichoni’
WAKATI ikiwa si shwari ndani ya klabu ya Simba, hatimaye Mwenyekiti wake, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’ jana aliibuka jijini Dar es Salaam na kujinasibu kuwa yeye ni ‘mwanaume wa...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
TFF yazidi kumlea Aden Rage
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezidi kusisitiza kuwa bado Mwenyekiti wa Simba huku ikimtaka kuitisha mkutano mkuu kwa mujibu wa Katiba ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W1DmvPv04sC5ekPrjykvvCkKZfUamLSa4Oe9w6WSgr*04IKD*vrAIGqvE1mWrZ*1qkILo2ZBNCQIV3YTYY6U8yJ/breakingnews.gif)
ADEN RAGE APATA AJALI DODOMA
MBUNGE wa Tabora mjini (CCM), Ismail Aden Rage (pichani) na wenzake wanne wamenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lao walilokuwa wakisafiria kutoka Tabaora kwenda Dodoma eneo la Chigongwe mkoani Dodoma leo. Ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa gari walilokuwemo kujaribu kulikwepa lori lililokuwa mbele yao na…
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rfRW4K4twlY/Vb7xaEl_wEI/AAAAAAAAiao/h0RTNQO9pBo/s72-c/1.png)
Kura za Maoni CCM: Mawaziri Watano Waanguka.......Yumo Chikawe,Sillima,Mahanga na Makalla ,Aden Rage Pia Kaanguka!!
![](http://2.bp.blogspot.com/-rfRW4K4twlY/Vb7xaEl_wEI/AAAAAAAAiao/h0RTNQO9pBo/s640/1.png)
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa.
Kwa mujibu wa matokeo ambayo mtandao huu umeyapata, kwa upande wa mawaziri walioshindwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.Hayo yamethibitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa Lindi, Adelina Gefi aliyesema kura za Chikawe katika jimbo lake la Nachingwea alikokuwa...
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
10 years ago
Michuzi03 Mar
Mwakilishi wa jimbo la mji mkongwe (Cuf) Ismail Jussa Ladhu azungumza na watanzania DMV
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/U5iV4xqw45M/default.jpg)
MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA
Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania