Maswali kumi kwa Mbunge wangu;Ismail Aden Rage
Fedha za maendeleo ya jimbo Sh40 milioni kila mwezi sawa na Sh480 milioni kwa mwaka zimefanya shughuli gani hadi sasa?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Maswali kumi kwa mbunge wangu Aliko Kibona
Wewe na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za 2010 mliahidi kujenga barabara ya lami kutoka Mpemba hadi Isongole, lakini hivi sasa hakuna dalili wala maelezo kwa nini jambo hilo halijatekelezwa.
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Donald Max
Uliwaahidi wakazi wa Kijiji cha Nyantorotoro, Geita maji baada ya kuwaona wanateseka kwa kunywa maji ya chumvi na meupe kama maziwa, lakini mpaka leo bado wanateseka.
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Israel Natse
1. Agnes Michael, mkazi wa Kijiji cha Gongali, Kata ya Qurus.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:David Silinde
Uliahidi ukichaguliwa utajenga na kuishi karibu na wapigakura wako, inakuwaje kipindi kirefu unaishi mbali na wapiga kura wako?
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mary Nagu
Robert Sulle, mchimbaji mdogo wa madini ya chumvi kwenye Kijiji cha Gendabi.
Uwezeshaji wa mgodi wa chumvi umefikia hatua gani?
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Zitto Kabwe
Vijana wengi wamekuwa wakijishughulisha na kazi mbalimbali za kujiajiri kama vile kilimo, kuchimba mawe na mchanga, uvuvi na nyinginezo. Vijana wa Msimba walioamua kujiajiri kwa kufyatua matofali wanatozwa ushuru eti tofali ni
10 years ago
Mwananchi27 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Kisyeri Chambiri
uliwaahidi wananchi kwamba nusu ya mshahara wako wa ubunge utagawana nao kwa kufanikisha maendeleo, mbona hadi sasa hujatekeleza ahadi hiyo ya kutoa nusu mshahara wako?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania