Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH LOWASA KAWA LULU BUNGENI...WABUNGE WAPANGA FOLENI KUMUONA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi hapati nafasi ya kupumua kutokana..na uwingi wa wabunge kupishana kumuona....Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, imesikika moja wa mbunge akisema hayo.....
Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Simba wapanga kulipa kisasi

Wakati Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizipiga na Mbunge Hamis Kigwangallah katika masumbwi, timu ya Wabunge wa Mashabiki wa Simba imetamba kulipa kisasi kwa timu ya Wabunge wa Yanga katika tamasha la Usiku wa Matumaini lililopangwa kufanyika Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NDANI BURUNDI NI SHIIIIDA ZARI KAMA KAWA KAWA DAWA

Hapa Diamond akiwa na Zari wakitola kwenye uwanja wa ndege huko Burundi kama unavyoona Zari mkono kwa mkono na Diamond kama kawa kama dawa kiroho safi. Diamond yupo ndani ya Burundi kikazi zaidi kwa picha zaidi jitiririshe chini kwa kubofya soma zaidi kiroho safi. 
Picture by http://instagram.com/wcb_wasafi Picha kwa hisani ya DjChoka.

 

9 years ago

Mtanzania

Mwigizaji Lulu atamani nafasi ya Dk Tulia Bungeni

IMG_5199NA MWANDISHI WETU

BAADA ya Dk Tulia kushinda nafasi ya Naibu Spika, mwigizaji mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael (Lulu) ameandika katika ukurasa wake wa Instagram akimpongeza kutokana na elimu yake ambayo anaamini ndiyo iliyompeleka katika nafasi hiyo ya Unaibu Spika.

“Kusoma kuzuri jamani, wakati wakina nanii wanaendelea kunyooshana Insta,  watu na elimu zao wananyoosha kwenye vyenye maana, dada Tulia hapo kanyoosha kwenye Unaibu Spika bila hata ya wigi wala ‘make up’, sema nami siko...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Chadema waumbuana bungeni

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) amemshukia Leticia Nyerere (Viti Maalumu-Chadema) kwa kumtaka aende CCM kwa sababu bado Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete ana nafasi za kuteuwa wabunge. Hadi sasa Rais Kikwete ameshateua wabunge wanane kati ya nafasi 10 alizopewa kikatiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge 33 wapitisha muswada bungeni

Wabunge 33 jana walipitisha Muswada wa Benki ya Posta Tanzania (kufuta sheria iliyoanzisha Sheria ya Benki ya Posta na kuweka masharti ya mpito).

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge waumbuana kupokea rushwa bungeni

Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), amewaumbua wabunge wenzake kuwa wanapeana na kuchukua rushwa ndani ya Bunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni

Dodoma. Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gosbert Blandes (Karagwe) na Rosemary Kirigini (Viti Maalumu) jana nusura wakunjane mashati nje ya Ukumbi wa Bunge, baada ya Kirigini kukasilishwa na kauli iliyotolewa na mwenzake akimtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani