Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa Marehemu Edward Sokoine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Namelok Sokoine (MB) na Joseph Sokoine ambaye ni Afisa katika Ubalozi wa Tanzania nchini Canada, kuhusiana na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Mbunge wa Monduli,Marehemu Edward Moringe Sokoine, yatakayoadhimishwa kesho April 12. Rais Jakaya Kikwete ataongoza maadhimisho hayo pamoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi yanahitajika mbio za ‘Sokoine Day’

SOKOINE Min Marathon 2014 imefanyika mwishoni mwa wiki kuadhimisha miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Moringe Sokoine, kijijini kwake Monduli Juu mkoani Arusha. Waziri huyo...

 

11 years ago

Michuzi

Lowassa akagua ujenzi wa hospital Monduli

 Mhandisi msaidizi Paul Kisesa  akieleza jambo kwa Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wakati alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itakuwa na vifaa vya kisasa Mh Edward Lowassa akiendelea kufanya ukaguzi alipokwenda ghafla jana kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli.Lowassa ameelezea kutofurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

NAMELOK SOKOINE: Azindua kampeni za Ubunge Monduli na kuahidi kuendeleza alipoishia LOWASSA!

MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa
uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli
mkoani Arusha Septemba 28,2015 ambapo pamoja na mambo mengine ameahidi
kuendeleza yote aliyoasisi, kusimamia na kutekeleza aliyekuwa mbunge wa jimbo
hilo, Edward Lowassa. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro akihutubia mkutano wa  uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la...

 

9 years ago

Vijimambo

NAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA LOWASSA

MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli mkoani Arusha Septemba 28,2015 ambapo pamoja na mambo mengine ameahidi kuendeleza yote aliyoasisi, kusimamia na kutekeleza aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Edward Lowassa.Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro akihutubia mkutano wa  uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli...

 

9 years ago

TheCitizen

TRAVEL : A memorable day trip to Monduli Juu

Travelling to the Maasai villages in the North of Tanzania is not short of excitement as visitors are allowed to take part in the activities of the living culture.

 

11 years ago

Habarileo

Eneo la Sokoine laleta utata Monduli

ENEO lililotengwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Sokoine katika Kata ya Loksale wilayani Monduli Mkoa wa Arusha kwa ajili ya mafunzo ya kijeshi na malisho ya mifugo, limeleta utata.

 

9 years ago

Michuzi

KINANA AMNADI NAMELOK SOKOINE MONDULI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Moita ambapo alimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Monduli Ndugu Namelok Sokoine pamoja na Diwani wa kata hiyo.Katibu Mkuu ameendelea pia kumuombea kura mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na kumueleza ni kiongozi...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO

Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa  ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima  na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani