MH. MBOWE AFANYA ZIARA ZA CHAMA MKOA WA SIMIYU NA TABORA
![](http://4.bp.blogspot.com/-z48VdpgBszQ/VTtaLGGJufI/AAAAAAABMgI/OzqlYQZSrLk/s72-c/1.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (wa tatu kulia), akiongoza halaiki ya vijana, viongozi na makada wa chama hicho kukimbia mchakamchaka kutoka kwenye Kambi ya mafunzo ya vijana ya Luhemeli Kata ya Ndala wilayani Nzega Mkoa wa Tabora, kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Taifa-Ndala juzi.
Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakipasha mwili kwa kurukaruka mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Freeman Mbowe...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA MIRADI YA UMEME NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
10 years ago
MichuziWAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFANYA ZIARA KATIKA MKOA WA TABORA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_Yql1U5Sllk/VF63tnvBEDI/AAAAAAAARa0/5lDc_XM7KT8/s72-c/Mbowe%2Bakihutubia%2BNzega%2B1..jpg)
ZIARA YA MH FREEMAN MBOWE MKOANI TABORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Yql1U5Sllk/VF63tnvBEDI/AAAAAAAARa0/5lDc_XM7KT8/s1600/Mbowe%2Bakihutubia%2BNzega%2B1..jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9dI1CAcySBs/VF63xP5D4uI/AAAAAAAARa8/knvel5r3yZM/s1600/Mbowe%2Bakitambulisha%2Bviongozi%2Bwa%2BCUF.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XwgoPpuYgWk/VF633jdmlhI/AAAAAAAARbE/zjFGoJURDNk/s1600/Mbowe%2Bakiagana%2BNzega.jpg)
5 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS KATIKA ZIARA YA MKOA WA SIMIYU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jJbAGs4ILnY/VZ_yVttS9eI/AAAAAAAC8ac/9m-YQHyGW3A/s72-c/IMG-20150709-WA0003.jpg)
MADAKTARI BINGWA WA MOYO WAFANYA ZIARA MKOA WA SIMIYU.
![](http://4.bp.blogspot.com/-jJbAGs4ILnY/VZ_yVttS9eI/AAAAAAAC8ac/9m-YQHyGW3A/s640/IMG-20150709-WA0003.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LfwEWB2xD3I/VZ_yWfIXnbI/AAAAAAAC8ak/d57R5yISJmg/s640/IMG-20150709-WA0004.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fWv6-MPTV0M/VZ_yW-7XLyI/AAAAAAAC8ao/pBYkS6oAHL4/s640/IMG-20150709-WA0002.jpg)
10 years ago
MichuziWAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA
10 years ago
Michuzi23 Mar
MKURUGENZI MKUU WA NHC AFANYA ZIARA MIKOA YA SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
10 years ago
Vijimambo23 Mar
Mkurugenzi mkuu wa nhc afanya ziara katika mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/113.png)
Jana Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia kyando Mchechu ameanza ziara yake ya kutembelea Mikoa ili kuhimiza utendaji kazi wa viwango na kujionea utekelezaji wa miradi ya nyumba za gharama nafuu katika mikoa atakayotembelea ya Singida, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Sumbawanga,Katavi...
10 years ago
Michuzi15 Jun
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/486.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2119.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/397.jpg)