Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MH. OTHMAN MASSOUD APONGEZWA NA ZADIA

Na Mwandishi wetu Washington DCJumuiya ya Wazanzibar waishio nchini Marekani (ZADIA), imeunga mkono matamshi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Massoud Othman aliyoyatoa hivi karibuni mjini Unguja.Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman Katika taarifa yake fupi kwa umma ambayo Swahilivilla imepata nakala yake, ZADIA ilimnukulu Bwana Othman akisema kuwa Katiba ya Zanzibar inampa kila Mzanzibari wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha Uhuru wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

ZADIA YAUNGA MKONO MSIMAMO WA KIZALENDO WA MH. OTHMAN MASSOUD OTHMAN

TAARIFAAlipokuwa akizungumza kwenye kongamano maalum huko Zanzibar, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mh Othman Massoud Othman alielezea wajibu wa kila Mzanzabari wa kuutetea umoja wa Wazanzibar.Akifafanua kifungu cha 23 cha Katiba ya Zanzibar, Bw. Othman alielezea kuwa, mbali na Katiba hiyo kutoa haki sawa kwa Wazanzibari wote, pia inatoa wajibu kwa wananchi.Miongoni mwa wajibu wa kila Mzanzibari kwa mujibu wa Kifungu hicho, ni wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha Uhuru wa...

 

10 years ago

GPL

MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR, OTHMAN MASOUD OTHMAN AFUTWA KAZI

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman. RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na nafasi yake kuchukuliwa na Said Hassan Said. Rais Shein amefanya uteuzi huo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55 (1) cha...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar

vidio

The post Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

IPPmedia

Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman


IPPmedia
Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman
IPPmedia
The just ended Constituent Assembly (C.A) is likely to heighten political temperature in Zanzibar, causing more cracks in the Isle's Government of National Unity (GNU), The Guardian has learnt. Members of the CA from the Isles who talked to The Guardian in ...
Tanzania assembly endorses draft constitutionNewstime Africa
TANZANIA - Othman disavows Constituent AssemblyAfrica Intelligence (subscription)
Ecstasy as Katiba vote...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU. Panapo majaaliwa yake Mola, kesho tarehe 25 Oktoba, 2015; Watanzania wataelekea kwenye visanduku vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu ambao wachunguzi wengi wa kisiasa wameuita kuwa ni uchaguzi wa kihistoria. […]

The post TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

ZADIA KUENDELEZA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAZANZIBARI NCHINI MAREKANI

Na Abou Shatry Washington DCJumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani  Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) imesisitiza azma yake ya kendeleza umoja na mshikamano wa Wazanzibari ndani na nje ya Zanzibar.
Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa ZADIA Ndugu Omar Haji Ally, alipokuwa akitoa maelezo mafupi ya kumkaribisha Rais wa zamani wa Zanzibar Mheshimiwa Alhajj Ali Hassan Mwinyi kwenye chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi na Uongozi mzima wa Zanzibar Diaspora Association (ZADIA) Siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

ZADIA YAENDELEA KUSAKA MAENDELEO YA USTAWI WA JAMII ZANZIBAR

Tulipokuwa skuli tulifundishwa kuwa, ili tuendelee tunahitaji mambo manne: Ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Jumuiya ya Wazanibari Waishio nchini Marekani (ZADIA) inauelewa fika umuhimu wa maneno hayo ya hekima, na ndio maana uongozi wake bora, kwa kutambua jukumu lake, daima umekuwa mbioni katika kutafuta na kubuni mbinu za kusaidia maendeleo nyumbani Zanzibar.
Kwa vile kuwa na watu tu haitoshi kuleta maendeleo ya nchi, ndio maana ZADIA imelipa kipaumbele swala la afya na ustawi wa...

 

9 years ago

Michuzi

ZADIA YAZUNGUMZIA HALI YA KUFUTWA KWA MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Logo ya ZadiaJumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.

Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Taarifa ya ZADIA kuhusu kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

Logo ya Zadia Jumuiya ya Wazanzibari Waishio Nchini Marekani (ZADIA), imekuwa ikifuatilia kwa karibu na makini zaidi zoezi zima la Uchaguzi Mkuu visiwani Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Kwa kiasi kikubwa mchakato wa uchaguzi ulifanyika kwa njia za amani na utulivu. Hata hivyo ZADIA imeshtushwa mno na tamko la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mh. Jecha Salim Jecha la kutangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu Zanzibar na matokeo yake.   Ama kwa hakika kitendo hicho hakikuwa cha busara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani