Mhariri wa Washington Post afariki
Mhariri wa zamani wa gazeti la Washngton Post Ben Bradlee aliyeongoza uhariri wa kashfa ya Watergate miaka ya 70 afariki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MHARIRI WA MWANAHALISI ONLINE AFARIKI DUNIA

10 years ago
Mwananchi11 Jun
Aliyekuwa mhariri msanifu wa Mwananchi afariki dunia
Aliyekuwa Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mwananchi linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Jamila Kilahama (pichani),amefariki dunia jana jijini hapa baada ya kuugua kwa muda mfupi. Jamila ambaye aliitumikia MCL kwa miaka mitatu, alifariki dunia katika Hospitali ya Arafa Mbezi, baada ya kuugua shinikizo la damu na kupungukiwa na damu ghafla akiwa nyumbani kwake Mbezi.
10 years ago
VijimamboMKURUGENZI NA MHARIRI MKUU WA MAGAZETI YA MWANANCHI NA CITIZEN WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NA VOA WASHINGTON, DC
10 years ago
Vijimambo24 Oct
WASHINGTON POST INAUANGALIAJE UCHAGUZI WA TANZANIA

Tanzanians are going to the polls this month, and the constitution will be one of the biggest issues. Here’s the problem: the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party had agreed to reform it in ways that would loosen its tight grip on power — but...
11 years ago
BBC
AUDIO: New 'post-post-colonial' literature
Post-colonial writing is literature which addresses the experience of growing up in newly independent former colonial nations.
10 years ago
Vijimambo
RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...
10 years ago
Uhuru Newspaper23 Dec
MAONI YA MHARIRI
Taasisi zilizoagizwa kuwachunguza watuhumiwa wa Escrow zitende haki.....!
"HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameweka hadharani mambo yote kuhusiana na sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji.Akihutubia mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, Rais Kikwete, alimvua uwaziri Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kuhusishwa katika kashfa hiyo na watendaji wengine wakiendelea kuchunguzwa.Pia, aliagiza hatua kadhaa kuchukuliwa ili kuhakikisha serikali inapata halali...
11 years ago
Habarileo23 May
Nderumaki Mhariri Mtendaji TSN
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Gabriel Nderumaki, kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Habari Leo, Habari Leo Jumapili, Spoti Leo, Daily News na Sunday News.
10 years ago
Mwananchi19 Aug
Tegambwage ateuliwa Mhariri wa Jamii MCL
Uongozi wa Mwananchi Communications Limited umemtangaza mwanahabari mahiri nchini, Ndimara Tegambwage kuwa Mhariri wa Jamii wa magazeti ya kampuni hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania