Tegambwage ateuliwa Mhariri wa Jamii MCL
Uongozi wa Mwananchi Communications Limited umemtangaza mwanahabari mahiri nchini, Ndimara Tegambwage kuwa Mhariri wa Jamii wa magazeti ya kampuni hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper23 Dec
MAONI YA MHARIRI
Taasisi zilizoagizwa kuwachunguza watuhumiwa wa Escrow zitende haki.....!
"HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete ameweka hadharani mambo yote kuhusiana na sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kuchukua hatua kwa baadhi ya watendaji.Akihutubia mkutano wa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, Rais Kikwete, alimvua uwaziri Profesa Anna Tibaijuka kutokana na kuhusishwa katika kashfa hiyo na watendaji wengine wakiendelea kuchunguzwa.Pia, aliagiza hatua kadhaa kuchukuliwa ili kuhakikisha serikali inapata halali...
11 years ago
Habarileo23 May
Nderumaki Mhariri Mtendaji TSN
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Gabriel Nderumaki, kuwa Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Habari Leo, Habari Leo Jumapili, Spoti Leo, Daily News na Sunday News.
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Mhariri wa Washington Post afariki
Mhariri wa zamani wa gazeti la Washngton Post Ben Bradlee aliyeongoza uhariri wa kashfa ya Watergate miaka ya 70 afariki.
10 years ago
VijimamboMHARIRI WA MWANAHALISI ONLINE AFARIKI DUNIA
Mhariri wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...
11 years ago
GPLMHARIRI WA NEWS OF THE WORLD JELA MIEZI 18
Andy Coulson wakati akifikiswa Mahakama ya Old Bailey, London leo. Mapaparazi wakiwa kazini wakati Andy Coulson akiwa eneo la mahakama ya Old Bailey. ALIYEKUWA mhariri wa gazeti la News of the World, Andy Coulson amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela kwa kusikiliza mawasiliano ya watu kwa siri. Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Old Bailey iliyopo jijini London, England. Akitoa hukumu hiyo,… ...
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Aliyekuwa mhariri msanifu wa Mwananchi afariki dunia
Aliyekuwa Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mwananchi linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Jamila Kilahama (pichani),amefariki dunia jana jijini hapa baada ya kuugua kwa muda mfupi. Jamila ambaye aliitumikia MCL kwa miaka mitatu, alifariki dunia katika Hospitali ya Arafa Mbezi, baada ya kuugua shinikizo la damu na kupungukiwa na damu ghafla akiwa nyumbani kwake Mbezi.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
MAONI YA MHARIRI: Mwaka 2016 uwe wa kujenga uchumi
Mwaka 2015 ulikuwa wa uchaguzi mkuu. Serikali ilitimiza wajibu wake, na wananchi; vijana kwa wazee, wake kwa waume walitekeleza wajibu wao uchaguzi ukafanyika tena kwa amani na utulivu.
11 years ago
GPLMHARIRI MTENDAJI GAZETI LA JAMBO LEO AMEREMETA
Anicetus M. Busagi akimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. . Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time. Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi...
9 years ago
TheCitizen19 Aug
Ndimara new MCL ombudsman
Tanzanian media guru Ndimara Tigambwage has joined the Mwananchi Communications Ltd (MCL) as an ombudsman (public editor), as the leading print media house moves to uphold its integrity and independence by promoting transparency and public interest in its news operations.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania