Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHARIRI WA NEWS OF THE WORLD JELA MIEZI 18

Andy Coulson wakati akifikiswa Mahakama ya Old Bailey, London leo. Mapaparazi wakiwa kazini wakati Andy Coulson akiwa eneo la mahakama ya Old Bailey. ALIYEKUWA  mhariri wa gazeti la News of the World, Andy Coulson amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela kwa kusikiliza mawasiliano ya watu kwa siri. Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Old Bailey iliyopo jijini London, England. Akitoa hukumu hiyo,… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAOMI ATUPWA JELA MIEZI SITA

Mwanamitindo maarufu duniani, Naomi Campbell. MWANAMITINDO   maarufu duniani, Naomi Campbell (45) ametupwa jela miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga paparazi, Gaetano Di Giovanni, Agosti, 2009. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1OUNees

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aliyesababisha ajali ya Mbowe jela miezi 18

MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita mkoani Geita imemhukumu Sayi Kahindi (35) kifungo cha miezi 18 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kusababisha ajali ya gari alilokuwemo Mbunge wa Hai, Freeman...

 

11 years ago

Habarileo

Dereva bodaboda jela miezi sita

DEREVA wa Bodaboda, Shaban Hamis (22) amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya Sh 100,000 baada ya kusafirisha abiria bila ya kuwa na leseni ya usafirishaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza

Mahakama ya Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu imemhukumu Bahati Lukas (25) kifungo cha nje miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya wizi wa jeneza.

 

9 years ago

BBCSwahili

Miezi 6 jela kwa wapenzi wa jinsia moja

Watu 7 wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela nchini Senegal kwa kuenda kinyume na madili

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyetapeli kwa Airtel Money jela miezi 6

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa hapa kwenda jela miezi sita, kwa kosa la utapeli wa fedha kwa njia ya mtandao wa Airtel Money kwa mawakala mbalimbali wilayani humo.

 

5 years ago

Michuzi

AFUNGWA MIEZI TANO JELA BABATI KWA KUPOKEA RUSHWA

MKAZI wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Idd Sulle amehukumiwa kwenda jela miezi mitano kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi 120,000.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati, Victor Kimaro alitoa hukumu hiyo jana mjini Babati kwenye mahakama hiyo. 
Hakimu huyo alisema mahakama hiyo inamtia hatiani Sulle kwenye kesi hiyo ya jinai namba CC 92/2020 baada ya kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na wakili wa Takukuru Evelyine Onditi. 
Hakimu Kimaro alisema hata hivyo, washtakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MBOWE,WENZAKE WATAKIWA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 350 AU KWENDA JELA MIEZI MITANO

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Freeman Mbowe na wenzake nane kulipa faini ya Shilingi milioni 350 ama kutumikia kutumikia kifungo cha miezi mitano gerezani baada ya Mahakama kuwakuta kila mmoja na hatia katika kesi ya uchochezi yenye mashtaka 12 iliyokuwa inayowakabili.

Hukumu hiyo iliyochukua takribani saa nne imesomwa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema upande wa mashtaka unaweza kuthibitisha pasipo kuacha shtaka...

 

10 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Morsi ahukumiwa miaka 20 jela

Rais wa Zamani wa Misri, Mohammed Morsi.Makahama nchini Mirsi imemhukumu aliyekuwa rais wa zamani Mohammed Mosri kifungo cha miaka 20 gerezani kutokana na kuuawa kwa waamdamanaji wakati akiwa madarakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani