Mhasibu Ofisi ya Pinda ‘ateka, ajeruhi’
MFANYAKAZI Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uhasibu, Nasa Ouma, anatuhumiwa kumteka, kumpiga na kumjeruhi, Shadrack Mashaka (24), mkazi wa Sigara, Chang’ombe Temeke, Dar es Salaam. Mashaka, alizungumzia tukio hilo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Jul
Mhasibu TSN achukua fomu kumrithi Pinda
MHASIBU wa Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN), Shafi Kassim Mpenda amechukua fomu za maombi ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mlele wilayani Mlele katika mkoa wa Katavi, akisisitiza kuwa anatosha kuvaa viatu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kuliletea jimbo hilo maendeleo endelevu .
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...
11 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziHOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Pinda amkabidhi ofisi Majaliwa
WAZIRI Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amekabidhi ofisi kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kumtaka aimarishe ufuatiliaji wa maelekezo anayoyatoa kwenda ngazi za chini.
10 years ago
Habarileo28 Apr
Pinda aahidi ofisi ya Takwimu itaimarishwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imedhamiria kuiimarisha Ofisi ya Takwimu ya Taifa ili iweze kutoa huduma bora, siyo tu kwa Serikali, bali hata kwa wananchi kwa sababu wana haki ya kupatiwa takwimu sahihi.
9 years ago
MichuziPINDA AAGWA NA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kizungumza katika hafla fupi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kumuaga Waziri Mkuu, Mizengo Pinda iliyofanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijjni Dar es salaam Oktoba 16, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakigonganisha glass na Watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika Hafla fupi ya kumuaga aliyoandaliwana watumishi wa Ofisi yake kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Oktoba 16, 2015. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya...
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Jaji Warioba ateka Bunge
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kikwete ‘ateka’ sherehe za Mapinduzi
RAIS Jakaya Kikwete ambaye ni mara yake ya mwisho kuhudhuria sherehe hizo, akiwa na wadhifa huo, aliteka umma uliokuwa uwanjani hapo, kutokana na kupokewa kwa shangwe na vigelegele alipowasili.