Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhasibu TSN achukua fomu kumrithi Pinda

Shafi Kassim MpendaMHASIBU wa Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN), Shafi Kassim Mpenda amechukua fomu za maombi ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mlele wilayani Mlele katika mkoa wa Katavi, akisisitiza kuwa anatosha kuvaa viatu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kuliletea jimbo hilo maendeleo endelevu .

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU YA URAIS

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akichukua fomu za urais mkoani Dodoma leo. WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda leo amechukua fomu ya kuwania kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mhe. Pinda amechukua fomu hiyo katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo mkoani Dodoma ambapo pia alipata fursa ya kuongea na wanahabari. Katika mkutano wake na wanahabari amekataa kuelekezea mengi kama walivyofanya watangaza nia wenzake ili kutoingilia...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS

1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini kitabu baada ya kuwasili kuwasili kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma kuchukuwa fomu za kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao . Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto ni Katibu wa Nec CCM, Mohammed Seif Khatib. 3Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akiwa ameshika fomu ya kuwania uteuzi wa CCM ili awe mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao kwenye ofisi kuu ya CCM mjini Dodoma Juni 12, 2015. Kulia ni Mkewe Tunu na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mhasibu Ofisi ya Pinda ‘ateka, ajeruhi’

MFANYAKAZI Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uhasibu, Nasa Ouma, anatuhumiwa kumteka, kumpiga na kumjeruhi, Shadrack Mashaka (24), mkazi wa Sigara, Chang’ombe Temeke, Dar es Salaam. Mashaka, alizungumzia tukio hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI ACHUKUA FOMU NEC

Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) Adman Nyando, akimkabidhi fomu ya kuomba kugombea Urais, Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, leo Agosti 4, 2015, katika Ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo) 

 

9 years ago

GPL

KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE

Kingwendu akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kisalawe kwa tiketi ya CUF. Katika hali ya kuonyesha kuwa UKAWA imedhamiria kushika dola, mgombea wa ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi ya Chama Cha wananchi (CUF),  Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' jana amechukua fomu ya ubunge na kuahidi kuwa muda wa kwenda kubutua mijicho yake na kutoa ulimi nje umewadia, huu ndio muda wa heno heno. ...

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Magufuli achukua fomu kimyakimya

Tofauti na makada wengine wa CCM ambao walianza kwa kutangaza nia kisha baada ya kuchukua fomu kuzungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alichukua fomu kimyakimya bila kutaka kuzungumza lolote.Badala yake akasema atatafuta muda muafaka wa kuzungumza na vyombo vya habari baada ya kusoma fomu alizopewa na chama chake.Hata hivyo, kwa kifupi kabisa alisema endapo atapata ridhaa ya kuiongoza nchi atatekeleza Ilani ya CCM na kuwaomba Watanzania wamuombee.Dk...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwingine achukua fomu za urais CCM

Kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu na kusema akifanikiwa ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema. WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Lowassa alijiunga rasmi na Chadema juzi akitokea...

 

11 years ago

Michuzi

Ridhwani achukua fomu za Ubunge Chalinze

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhwan Kikwete akionesha fomu aliyochukua ya kugombea ubunge jimbo la hilo kulia kwake ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Kongo Kamate na Mbunge wa viti maalum wa jimbo la Charinze Subira Mgalu. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan Kikwete akijaza fomu ya kugombea jimbo hilo.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani