Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJUE KWA UNDANI MGOMBEA URAIS WA CCM, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI

- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu  cha Salford, Uingereza. - Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu...

 

9 years ago

Michuzi

Viongozi wawasili nchini Kushuhudia Uapisho wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (katikati chini) akimsubiria Rais wa Zimbabwe Mhe. Robert Mugabe (katikati juu kwenye ngazi) alipokuwa akiteremka kwenye Ndege, Rais Mugabe amewasili nchini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za uapisho wa Rais Mteule Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli zitakazofanyika hapo kesho katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Waziri Membe akimpokea Rais Mugabe (mwenye Ua Mkononi) mara tu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt John Pombe Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan watua Dar leo, wapokewa kwa shangwe

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiongea na wanahabari mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana huu wakitokea Dodoma na kupokelewa kwa shangwe na umati wa makada wa CCM. 

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais wa awamu ya 5 Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena

assah

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene.

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.

Awali   majira ya saa 6: 00  jana mchana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.

Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi...

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

10 years ago

Raia Mwema

10 years ago

Africanjam.Com

AND THIS IS DR. JOHN POMBE MAGUFULI CV

DR John Pombe Joseph Magufuli was born on October 29, 1959. He holds a PhD in Chemistry from University of Dar es Salaam.He has been a Member of Parliament (MP) for three terms, that is 2010 - 2015, 2005 - 2010 and 2000 - 2005 and has been a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) since 1977.
He has held various ministerial positions and currently is serving as the Minister of Works, the position he took up since May 4, 2012 until October 30, 2015 Other ministries he has served are...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani