Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA 15 YA MFALME WA RHYMES KUFANYIKA UJUMAA HII MJINI MOROGORO

Ijumaa ya wiki hii tarehe 27 June ndiyo tarehe rasmi ya sherehe ya maadhimisho ya miaka 15 ya mfalme wa rhymes Afande Sele, wasanii zaidi ya 20 watapiga shoo na pale katika ukumbi wa Terminar Msamvu, akiwemo Dito na Koba ambao walikuwa wakiunda kundi la Watu Pori chini Afande, kuna list ndefu ya wasanii wakongwe wa bongo flava na wasanii wapya, atakuwepo Dj Mzungu, anaitwa dj Kulala Simba.Pia waendesha bodaboda watafanya matembezi kuizunguka morogoro, pia kuna ligi ya mfalme itakua...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wa Morogoro mjini wamnunulia fomu Abood ili aendelee kuwa mbunge wao Jimbo Morogoro mjini

 

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood akipokea michango ya wanafunzi waliojitokeza kumchangia mbunge huyu ili achukue fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi Mara baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wa Mbunge huyo ambaye amefanya mambo mengi ya maendeleo ikiwemo kuwalipia ada zaidi ya wanafunzi 500 wasiokuwa na uwezo wa kujilipia ada na wanaoishi katika mazingira magumu.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mh Aziz Abood, akipokea kiasi cha...

 

11 years ago

Michuzi

KILELE CHA MIAKA 10 YA ‘LADY IN RED’ KUFANYIKA NYUMBANI LOUNGE JUMAMOSI HII


.Kutolewa vyeti maalum ..wadau kukata keki ya pamoja ..Slim kutumbuiza
Na Andrew Chale KILELE cha Miaka 10  na ‘After Party’ ya onesho la mavazi la ‘Lady in Red Super Brand’ kinatarajia kufikia tamati usiku wa Jumamosi, Februari 22, ndani ya Ukumbi ulio na mgahawa wa kisasa wa hadhi jijini  Dar es Salaam, wa Nyumbani Lounge, huku kukitarajiwa kuwa na surprise mbali mbali kwa wadau watakaojitokeza. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions,  Asia Idarous Khamsin, wandaaji wa Lady in...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA MOROGORO MJINI,ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI MOROGORO

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.
 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na Katibu wa CCM Kata Ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Morogoro mjini Mh Abood atoa milion 11 kutatua kero ya maji Mkundi Morogoro

20141231_144819

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi Hilo Mh Abood Aliongea na Wanachama wa Tawi Hilo Kisha Kuwaelekeza Kujiunga Kwenye Vikundi vya Wajasiriamali Yeye Atakuwa Tayari kuwawezesha Mitaji ya Kufanya Shuguli za Kujiletea Maendeleo.  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu Sambamba na Katibu wa CCM Kata Ya...

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER, DULLY SYKES, LINAH SANGA, SHETA NA GELLY WA RHYMES WAIFAGILIA SKYLIGHT BAND NI IJUMAA HII TENA‏

Rapa Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki. Mdau wakijiachia na mrembo wa kizungu...Chezea Skylight Band wewe....ni Balaaa!…

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

11 years ago

Michuzi

Miss Kanda Mashariki kufanyika Agosti 8 Morogoro

Baadhi ya warembo wa Miss Kanda Mashariki katika pozi mbalimbali.
Mashindano ya kumsaka mrembo kanda ya Mashariki ( Redds Miss Eastern Zone 2014) yatafanyika siku ya sikukuu ya Nanenane kwanue ukumbi wa Nashera Hotel, mkoani Morogoro.
Mashindano hayo yatashirikisha jumla ya warembo 14 kutoka mikoa minne ambayo ni Pwani, Lindi, Mtwara na mwenyeji, Mkoa wa Morogoro chini ya udhamini wa Redds Original, Zanzi Cream Liquer, Pepsi, Usambara Safari Lodge, Kitwe General Traders, Starwing Lodge,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani