Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miss Kanda Mashariki kufanyika Agosti 8 Morogoro

Baadhi ya warembo wa Miss Kanda Mashariki katika pozi mbalimbali.
Mashindano ya kumsaka mrembo kanda ya Mashariki ( Redds Miss Eastern Zone 2014) yatafanyika siku ya sikukuu ya Nanenane kwanue ukumbi wa Nashera Hotel, mkoani Morogoro.
Mashindano hayo yatashirikisha jumla ya warembo 14 kutoka mikoa minne ambayo ni Pwani, Lindi, Mtwara na mwenyeji, Mkoa wa Morogoro chini ya udhamini wa Redds Original, Zanzi Cream Liquer, Pepsi, Usambara Safari Lodge, Kitwe General Traders, Starwing Lodge,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Kanda Mashariki Vipaji kufanyika Idd Pili

WAREMBO 14 wanaowania taji la Kanda ya Mashariki, Redd’s Miss Eastern Zone 2014, wanakabiliwa na mchuano wa kuwania la taji la vipaji utakaofanyika siku ya Idd Pili katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KUFANYIKA DAR AGOSTI 27

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Margaret Zziwa, akisisitiza jambo kwa wajumbe. Mbuge Shyrose akijibu swali la mwandishi (hayupo pichani)  Nyuma yake ni Mbuge Twaha Taslima.…

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

11 years ago

Mwananchi

Miss Kanda Mashariki Vipaji Idd Pili

Warembo 14 wanaowania taji la Kanda ya Mashariki (Redd’s Miss Eastern Zone 2014) watashindania taji la vipaji (Talent Award), lililopangwa kufanyika siku ya Idd Pili kwenye Ukumbi wa Maisha Plus, Kibaha, Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

ELIZABETH TARIMO NDIYE MSHINDI WA MISS KANDA YA MASHARIKI 2014

Mshindi wa Taji la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2014 ,  Elizabeth  Tarimo (18) ambaye pia ni Miss Lindi akiwa mwenye uso wa furaha na tabasamu la ushindi sambamba na  mshindi wa pili  Nidah Katunzi (19) ( kulia) ,ambaye ni Miss Mtwara pamoja na wa tatu, Lucy Julius Diyu  (21) (kushoto) Miss Morogoro baada ya kutangazwa kuwa washindi kwenye nafasi hizo wakati  kinya’ganyiro cha kuwania taji hilo  kilichofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera ya mjini...

 

9 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya SIDO kwa wajasiriamali kwa kanda ya kati kufanyika Agosti 26 hadi Septemba Mosi mwaka huu Mkoani Singida

DSC01194

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari  juu  ya kufanyika kwa maonesho ya SIDO kanda ya kati kuanzia Agosti 26 hadi septemba mosi mwaka huu mjini Singida. SIDO kanda ya kati inajumuisha mikoa ya Singida, Tabora na Kigoma.Katika maonesho hayo, bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wajasiriamali na wafanyabiashara ndogo. DSC01201 DSC01193 Baadhi ya maafisa wa  serikali na SIDO mkoani hapa wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akitoa...

 

10 years ago

Mtanzania

Waandishi Morogoro kuchaguana Agosti 22

Na Ashura Kazinja, Morogoro

HEKAHEKA ya kupata viongozi wapya  watakaoongoza kwa miaka mitatu Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro (MOROPC) zimeanza.

Hayo yalibainishwa na mratibu wa klabu hiyo, Thadei Hafigwa, wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini hapa ambapo alisema uchaguzi huo utafanyika Agosti 22, mwaka huu.

Alisema uchaguzi huo unafanyika ili kutekeleza azimio la mkutano mkuu wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) ili kuiweka vema...

 

11 years ago

Michuzi

KOZI YA UKOCHA LESENI A SASA KUFANYIKA AGOSTI

Kozi ya ukocha wa mpira wa miguu ya leseni A inayotambuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) iliyokuwa ianze kesho (Julai 21 mwaka huu) jijini Dar es Salaam sasa itafanyika mwezi ujao.

Marekebisho hayo yamefanyika kutokana na maelekezo ya CAF ambayo ndiyo itakayosimamia na kuendesha kozi hiyo itakayoshirikisha makocha wenye leseni B za shirikisho hilo.
Tarehe rasmi ya kuanza kozi hiyo itatangazwa wiki ijayo. Mwezi uliopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA VIJANA DUNIANI KUFANYIKA AGOSTI 24, 2014

Picha no 1WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADU
NI NA MICHEZO DKT FENELLA MUKANGARASiku ya Vijana Duniani itafanyika tarehe 12 Agosti, 2014 ikiwa na lengo la kuyafanya masuala mbalimbali ya vijana kutambulika katika jamii ya Kimataifa. Mwaka huu, ujumbe ni “Vijana na Afya Kiakili”.  Tarehe hii iliamuliwa kuwa Siku ya Vijana Duniani na Umoja wa Mataifa mwaka 1999. Hii ni Siku maalum inayodhihirisha kutambua kazi muhimu zinazofanywa na vijana na umuhimu wake katika jamii pamoja na kuwapa fursa kwa ajili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani