Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

Wiki hii Aprili 26 ,Tanzania inaadhimisha miaka 50 ya Muungano tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana na kuunda nchi ya Tanzania. Kuna nini cha kusherehekewa?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Miss Universe Tanzania washiriki fashion show Moscow ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania

 Betty Boniface Nelly Kamwelu
Warembo wawili wa waliowahi kushinda taji la Miss Universe, Nelly Kamwelu na Betty Boniface leo (Jumamosi) watapanda jukwaani mjini Moscow, Urusi kushiriki katika maonyesho ya mavazi ya kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Warembo hao waliondoja nchini juzi na tayari wapo mjini Moscow kwa ajili ya maonyesho hayo ambayo pia yatashirikisha waonyesha mavazi mbali mbali wa Tanzania.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Compass Communications, Maria...

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) WASHEREHEKEA SHEREHE ZA MIAKA 50 MUUNGANO WA TANZANIA

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu,Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) akimpokea mgeni rasmi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Tanzania, Mheshimiwa Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa UAE,katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Intercontinental,Abu Dhabi. Balozi Mbarouk akiwa na Chief of Protocol wa UAE Mhe. Shihab Al Faheem. Balozi Mbarouk akimuongoza Mgeni rasmi Mhe. Dr. Hadef Jawa’n Al Dhaheri, Waziri wa Sheria wa Umoja...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKIANA NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akipokea msafara wa pikipiki wa vijana wa CCM (UVCCM) ambao wanaendesha mbio za Uzalendo Tanzania zikiwa na lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar jana tarehe 07-04-2014. Mbio hizo za kitaifa zinahusisha msafara wa pikipiki tano zinazoongozwa na viongozi watatu wa UVCCM ambao wanakuwa kwenye gari, aidha zinashirikisha wadau mbalimbali wa UVCCM katika kuzifanikisha. Mbio hizo  zinahimiza vijana kudumisha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania yatimiza miaka 50 ya Muungano

Sherehe za kuhadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanzania zimefanyika leo mjini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz na Mwambata Jeshi Brig. Gen. Bishoge wakiwa wamesimama  kwa heshima wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa na kwaya ya Kamisheni ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.  Aliyesimama kwenye podium ni Bw. Samwel Shelukindo, Afisa Mambo ya Nje Mkuu ambaye alikuwa MC katika sherehe hizo.   Mhe. Balozi Naimi Aziz akitoa hotuba katika sherehe hizo.  Mhe. Balozi Naimi Aziz akikata keki ya Miaka 50 na wageni waalikwa. Kutoka kushoto ni Balozi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria waadhimisha miaka 50 ya Muungano

Na: Geofrey Tengeneza – Abuja Nigeria
Jumuiya ya wafanyabiashara, wawekezaji na wananchi wa Nigeria kwa ujumla, wameombwa kuja kuwekeza kwa ujumla na kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali vinavyopatikana nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay katika maadhimisho ya miaka hamsini 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) yalioandaliwa na ofisi ya ubalozi  waTanzania nchini Nigeria na kufanyika katika Hoteli ya Sheraton...

 

11 years ago

Michuzi

MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA NA USHIRIKIANO KATIKA UTUMISHI WA UMMA.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) katikati akiongea katika kipindi cha Jambo Tanzania kuhusu Mashirikiano katika Utumishi wa Umma katika miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, kulia ni Mh. James Mbatia, kushoto ni Mtangazaji wa TBC Shaban Kissu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani