Miaka 85 ya uhasama Real, Barca
Ni miaka 85 tangu Real Madrid na Barcelona zikutane kwa mara ya kwanza katika mchezo baina yao, ambao umepewa jina la El- Clasico.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Real, Barca, Atletico mtifuano
Bilbao imefunga mabao 15, huku wakishinda mechi 13 kwenye uwanja wao mpya wa San Mames
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Hapa Real ‘BBC’, kule Barca ‘MNS’
>Miaka 85 ya uhasama, pambano la 261 baina ya Real Madrid na Barcelona ‘El Clasico’ leo kutashuhudiwa ushindani wa aina yake baina ya washambuliaji bora zaidi duniani kwa sasa.
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Celta Vigo yazifuata Barca, Real kileleni
Celta Vigo imelingana pointi na Real Madrid na Barcelona katika kilele cha msimamo wa La Liga, shukrani zikienda kwa Nolito aliyefunga bao dakika ya mwisho ya mchezo katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Villarreal waliokuwa 10 uwanjani.
11 years ago
Mwananchi14 Dec
Barca, Real, Atletico kikaangoni leo la liga
Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid zote zilipata ushindi mzuri katika Ligi ya Mabingwa katikati ya wiki, lakini leo na kesho watakuwa na kazi pevu katika La Liga.
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DkiAbdKWask/U09RogxV0gI/AAAAAAAA8Cc/oPe7CzyJMmg/s1600/article-2606250-1D26BC3F00000578-1_634x487.jpg)
REAL MADRID WABEBA KOMBE LA MFALME,WAINYUKA BARCA
Mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo akiwa ameshika Kombe la Mfalme usiku wa kuamkia leo baada ya timu yake, Real Madrid kuifunga Barcelona Uwanja wa Mestalla mjini Valencia katika fainali. Ronaldo hakucheza sababu ya majeruhi. Ronaldo akimpongeza mfungaji wa bao la ushindi la Real , Gareth Bale katikati pamoja na kocha Msaidizi, Zinedine Zidane (kushoto). Kocha wa… ...
5 years ago
The Sun19 Mar
5.30pm Arsenal news LIVE: Martinelli to Real Madrid with Ceballos to Gunners, Aubameyang ‘pleased’ with Barca
5.30pm Arsenal news LIVE: Martinelli to Real Madrid with Ceballos to Gunners, Aubameyang ‘pleased’ with Barca The SunCoronavirus in sport live updates: UEFA postpone Euro 2020 until 2021, Grand National cancelled, UFC schedule talkSPORT.comManchester City postpone match due to Coronavirus The Mag11am Arsenal news LIVE: Smalling £25m interest, Aubameyang wants Barcelona transfer, Arteta wife coronavirus The SunCoronavirus in sport live updates: Boxing suspended, UEFA draw up plans to...
5 years ago
The Sun19 Mar
7pm Arsenal news LIVE: Martinelli to Real Madrid with Ceballos to Gunners, Aubameyang ‘pleased’ with Barca int
7pm Arsenal news LIVE: Martinelli to Real Madrid with Ceballos to Gunners, Aubameyang ‘pleased’ with Barca int The SunView Full coverage on Google News
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania