Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA MITATU BUNGENI LISU: NILISHA- PIGWA NA KULALA SELO MARA 3

MBUNGE wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya uwakilishi wake bungeni, ameshapigwa na polisi kisha kuwekwa mahabusu mara tatu katika maeneo tofauti nchini kwa sababu ya harakati za kisiasa. Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu. Akizungumza na waandishi wa Global Publishers...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU

Jamii ya Mara Group ya Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imemchagua Philemon Oboro, kuwa Mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuwaangusha wapinzani wake watatu.
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Filikunjombe: Mimi si wa kulala bungeni

MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) amesema kuwa yeye si mbunge wa kusinzia bungeni kama walivyo baadhi ya wabunge wanaofanya hivyo na kushindwa kuwawakilisha wananchi wao. Akizungumza kwa nyakati tofauti...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Atupwa jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo

Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.

Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...

 

10 years ago

GPL

MIAKA MITATU MUHIMBILI BILA MATIBABU

Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni. Na Haruni Sanchawa/Uwazi Alikuja Muhimbili ili akafanyiwe upasuaji India, alipelekwa akarudishwa bila kutibiwa, awaita ndugu zake hospitalini. Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Mryaza, wilayani Musoma Vijijni amepoteza mwelekeo wa maisha baada ya ndoto yake ya kusoma hadi chuo kikuu kuishia njiani...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwandishi atakayepotosha jela miaka mitatu

agNa Fredy Azzah, Dodoma

BUNGE limetuma salamu kwa vyombo vya habari na waandishi wa habari kwa kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu kufungwa jela miaka mitatu ama kutozwa faini ya Sh milioni 10.

Muswada huo umepitisha wakati ambapo, Machi 31, mwaka huu Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya Kupata Habari wa Mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa Mwaka 2015, yote kwa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND KUFUNGWA JELA MIAKA MITATU!

Na Musa Mateja
Kufuatia tukio la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuonekana jukwaani na sare zinazoaminika kuwa za Jeshi la Wananchi (JWTZ) kisha kukamatwa kwa kundi lake la Wasafi Classic Baby (WCB) na meneja wake, Babu Tale, kuna uwezekano wa jamaa huyo kufungwa jela miaka miwili au mitatu. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri zamu yake kupanda jukwaani....

 

10 years ago

GPL

FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU

BONDIA Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Francis Cheka : miaka mitatu jela

Bondia wa kulipwa nchini Tanzania, Francis Cheka, ambaye ni maarufu kwa jina la SMG, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigogo TBS jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam jana imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege baada ya kumtia hatiani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani