Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michezo katika Shamrashamra za Tamasha la siku ya Walimu Duniani ilivyonoga Zanzibar

Na Rahma Khamis -Maelezo, Zanzibar Waalimu Nchini wametakiwa kuwapa fursa na kuwahamasisha wanafunzi wa Skuli mbalimbali kushiriki katika michezo ili kuwezesha kupata timu nzuri na kushiriki katika mashindano ya Kimataifa. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari Utamaduni Wasanii na Michezo Tanzania Leonaed Thadeo katika Uwanja wa Amani nje wakati alipokua akifunga Shamrashamra za Tamasha siku ya Walimu Duniani. Amesema nchini  Tanzania wananchi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika  tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda,  akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...

 

10 years ago

Michuzi

CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI

Mratibu wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na TEN/MET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).
Ofisa Mradi wa TEN/MET, Alistidia Kamugisha (kulia), Meneja wa Fedha na Utawala (TEN/MET), Beatrice Malya (katikati) na Mratibu wa TEN/MET, Cathleene Sekwao. 

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO WA ZANZIBAR AKUTANA NA WANAFUNZI NA WALIMU WACHUO CHA UANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Maife Kapinga akimkaribisha Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara wakati alipotembelea banda la NSSF wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoambatana na bonanza la michezo lililofanyika DUCE jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. NSSF walidhamini bonanza hilo.  Wachezaji  wa timu ya mpira wa kikapu ya Don Bosco wakipata maelezo kutoka kwa Maofisa Uhusiano wa  Shirika la Taifa la...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA SIKU YA WANAWAKE ILIVYONOGA JIJINI DAR LEO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA SARATANI DUNIANI, ZANZIBAR

 Mwandishi wa habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza swali kuhusiana na Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.

 Naibu Waziri wa Afya Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa habari jinsi ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.

 Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d Abdalla ambae pia ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi alivyopambana na...

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar waadhimisha siku ya utalii duniani

KAMISHENI ya Utalii Zanzibar jana ilizindua Siku ya Utalii Duniani ambayo itafikia kilele chake kesho katika kijiji cha Nungwi wilaya ya Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA FISTULA DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA ZANZIBAR

Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar(viti maalumu), Wanu Ameir, amewataka viongozi wa mikoa ya Zanzibar kutoa mazingira wezeshi kuwarahisishia mabalozi wa Fistula nchini kuhamasisha na kuelimisha Umma dhidi ya fistula hapa visiwani ambapo mpaka sasa ni wagonjwa 6 tu ambao wamejitokeza tangu kuanza kampeni hiyo aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani jana.Elimu hiyo inatolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation. Mgeni rasmi kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani