Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHEZO YA WATUMISHI WA SERIKALI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana,Utramaduni na Michezo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Michezo na Burudani kuelekea maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Bw. Leonard Thadeo wakwanza kulia akiongoza tamasha la mazoezi ya viungo kwa Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma mapema wikiendi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo ni muendelezo wa program mbalimbali za kuadhimisha Muungano kwa njia ya Mchezo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURI WADAU WA MICHEZO KUJITOKEZA KUSAIDIA MICHEZO NCHINI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kupokea msaada wa hundi ya milioni kumi kutoka Zantel kwa ajili ya Chama cha Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) leo jijini Dar es Salaaam, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu Zantel Bw. Pratap Ghose (kushoto) pamoja na ...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.


Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu namna Serikali  inavyoshughulikia madai ya watumishi walio katika Serikali za Mitaa wasio walimu. Na Magreth   Kinabo-maelezoSERIKALI  imetenga  kiasi cha fedha cha  Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya  Watumishi wa Mamlaka za Serikali za  Mitaa(TALGWU) na  Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni  ya yasiyohusu mishahara,...

 

10 years ago

Michuzi

Mifuko ya Pensheni yawapiga msasa watumishi wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Muwasilishaji Toka Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Feruzi Mtika akiongea na waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuhusu aina ya Mafao wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Muwasilishaji toka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bi. Evelyne Kusenga akiwaeleza waajiriwa wapya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  kuhusu Mafao na faida wanayotoa iwapo watajiunga na Mfuko huo, wakati wa Semina iliyofanyika leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yawatimua watumishi watano

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewatimua kazi wafanyakazi wake watano na kuwasimamisha wengine 10 kutokana na kufanya hujuma mbalimbali, ikiwamo kughushi hati za viwanja.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kumaliza matatizo ya watumishi

SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kukabiliana na watumishi wadanganyifu

SERIKALI imesema haitasita kuwachukulia hatua watumishi wa halmashauri wanaofanya manunuzi kinyume cha bei zilizoko sokoni, hatua ambayo inachangia serikali kupata hasara. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani