Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawatimua watumishi watano

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewatimua kazi wafanyakazi wake watano na kuwasimamisha wengine 10 kutokana na kufanya hujuma mbalimbali, ikiwamo kughushi hati za viwanja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yawatimua watano TRA

SERIKALI iliwafukuza kazi watumishi watano wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) mwaka jana baada ya kubainika kuwa walihusika kuandika taarifa zisizo sahihi juu ya mali zilizokuwemo ndani ya baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinondoni yawatimua kazi watumishi tisa

Baraza la Madiwani la Manispaa yaa Kinondoni jijini Dar es Salaam limewafukuza kazi watumishi wake tisa kati ya 11 kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Hai watimua watumishi watano

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Hai, limefikia uamuzi wa kufukuzisha kazi  watumishi wake watano kwa kosa la utoro kazini. Maazimio ya kufukuzwa kazi kwa watendaji hao yalifikiwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali

4.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.

TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wawili wafutwa kazi Njombe,watano wapewa onyo

Na Amiri kilagalila,NjombeBARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Njombe Kwa Kauli Moja limeazimia kuwafuta kazi watumishi wawili kwa tuhuma za utoro kazini na kutoa barua ya onyo kwa wengine watano baada ya kamati ya maadili kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kuwakuta na tuhuma za uzembe zilizowafanya kukiuka taratibu za manunuzi.
Watumishi waliofutwa kazi ni Patrick Kigola mtendaji wa kijiji cha mfiliga pamoja na Asma Ally ambaye ni mtabibu ambao wanadaiwa kukutwa na makosa...

 

5 years ago

CCM Blog

AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Na Mwandishi Maalum, TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia  ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.

Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.


Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu namna Serikali  inavyoshughulikia madai ya watumishi walio katika Serikali za Mitaa wasio walimu. Na Magreth   Kinabo-maelezoSERIKALI  imetenga  kiasi cha fedha cha  Sh. bilioni tano ( 5.93) ikiwa ni madeni ya mishahara ya  Watumishi wa Mamlaka za Serikali za  Mitaa(TALGWU) na  Sh. bilioni nne(4) kwa ajili ya kulipa madeni  ya yasiyohusu mishahara,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali kumaliza matatizo ya watumishi

SERIKALI imesema inayo dhamira ya dhati ya kumaliza kero ya madai na malimbikizo kwa watumishi wa umma. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,Mejimenti ya Utumishi wa Umma Celina Kombani, amesema mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani