Watumishi wawili wafutwa kazi Njombe,watano wapewa onyo
![](https://1.bp.blogspot.com/-qMMPN7dJBVk/XuD0ChRTsEI/AAAAAAALtZU/sAf-X6cBvJ0ToCWRum_QiWwRdz8oA69oQCLcBGAsYHQ/s72-c/FUTA%2B%25281%2529.png)
Na Amiri kilagalila,NjombeBARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Njombe Kwa Kauli Moja limeazimia kuwafuta kazi watumishi wawili kwa tuhuma za utoro kazini na kutoa barua ya onyo kwa wengine watano baada ya kamati ya maadili kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kuwakuta na tuhuma za uzembe zilizowafanya kukiuka taratibu za manunuzi.
Watumishi waliofutwa kazi ni Patrick Kigola mtendaji wa kijiji cha mfiliga pamoja na Asma Ally ambaye ni mtabibu ambao wanadaiwa kukutwa na makosa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Xg1S8Ai7pGs/U9N_36GzfpI/AAAAAAAAUUA/KljuWMLzgsg/s72-c/kino.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YAWAFUKUZA WATUMISHI TISA NA WENGINE WAWILI WAPEWA KARIPIO KALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-Xg1S8Ai7pGs/U9N_36GzfpI/AAAAAAAAUUA/KljuWMLzgsg/s640/kino.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ikqw4Ki8TM8/XmsVs-NNCfI/AAAAAAALi4E/WpIFwI78vYEbIw5PBEttoapE81t5vuDZwCLcBGAsYHQ/s72-c/31f7a3a4-ae26-4a89-b549-3cdf97247d1a.jpg)
RC NJOMBE AWAPONGEZA WALIMU WAWILI LUDEWA KWA KAZI NZURI
Na Shukrani Kawogo, Njombe.
Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amewapongeza walimu wawili wa shule ya msingi Nindi iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa juhudi wanazofanya kwa kuwafundisha wanafunzi wa shule hiyo kwa moyo wote bila kujali upungufu wa walimu walionao.
Walimu hao waliofahamika kwa majina ya Rebeca Mhagama Pamoja na Judith Kayombo wamekuwa wakifundisha wawili tu katika mikondo kumi na moja huku jumla ya wanafunzi wote ikiwa ni 308 wa shule ya msingi na 42 wa...
10 years ago
Habarileo01 Mar
Wanaovamia viwanja wapewa onyo
na kuendeleza viwanja visivyokuwa vyao, wametakiwa kuacha tabia hiyo na kwamba Serikali haitasita kubomoa ujenzi wowote uliofanywa katika mazingira hayo.
10 years ago
Habarileo15 Dec
Vijana Lindi wapewa onyo
VIJANA wa Wilaya ya Lindi Mjini wametahadharishwa kutokubali kudanganywa na kutumiwa kufanya vurugu ambazo zinaharibu vitu vichache walivyonavyo na kwa kufanya hivyo wanarudisha nyuma maendeleo yao.
10 years ago
Habarileo30 Jun
Wauza mafuta wapewa onyo
SERIKALI imesema itawachukulia hatua kali wafanyabiashara wa mafuta, ikiwamo kuwafungia vituo vyao na pia kufuta leseni zao watakaobainika kugoma kuuza nishati hiyo.
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mabeki Yanga wapewa onyo kali
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Polisi wafutwa kazi Kigoma
11 years ago
BBCSwahili28 Mar
Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Waislamu waliogoma wafutwa kazi Marekani