Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya COSAFA yaanza Africa Kusini

Michuano ya kumi na tano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu kusini mwa Afrika,COSAFA imezikutanisha timu za ukanda huo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Kila la kheri Stars michuano ya Cosafa

>Leo, kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinaingia kwenye Uwanja wa Olympia Park, Rustenburg Afrika Kusini kupambana na Swaziland katika mashindano ya kuwania ubingwa wa Kombe la Cosafa ambayo yalifunguliwa jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yaanza kujifua kwa COSAFA

Taifa Stars inaendelea na mazoezi mepesi mjini Rustenburg, Afrika Kusini tayari kwa michuano ya Kombe la COSAFA

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0

Beki wa timu ya taifa, Taifa Stars, Shomari Kapombe (kulia) akichuana na mchezaji wa Swaziland kwenye mchezo wao wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng Sports Palace katika michuano ya Cosafa inayoendelea huko Afrika Kusini. Stars ilifungwa bao 1-0. Straika wa Stars, John Bocco akiruka hewani kuwania mpira na mchezaji wa Swaziland.… ...

 

9 years ago

Michuzi

MICHUANO YA WAVU YAANZA KURINDIMA ARUSHA


 picha ikionyesha wachezaji wa timu ya pentagone ya jijini arusha
Iliovaa bluu ikiwa inachezana wachezaji wa timu ya tanga katika
MICHUANO yamchezo wa wavu
klabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini hapa ambapo timu ya
mchezo wa wavu ya tanga iliibuka kidedea kwa kuifunga timu ya
pentagoni seti 3-1 wachezaji wa pentagoni wakiwa wanamsikiliza mwalimu

picha zote na woinde shizza, Arusha
MICHUANO yamchezo wa wavuklabu bingwa taifa inaendelea kutimua vumbi jijini Arusha hukuikizishuhudia timu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaanza

Harakati za kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa Sudan Kusini zimeanza mjini Arusha.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini:Mazungumzo ya amani yaanza

Mazungumzo mapya yanayolenga kumaliza mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wa miezi 19 Sudan Kusini yameanza katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapigano makali yaanza tena Sudan Kusini

Mapigano makali yamekuwa yakiendelea katika mji wa Bentiu nchini Sudan Kusini ambapo vikosi vya serikali vinajaribu kuurejesha mji huo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shughuli ya kupiga kura yaanza Afrika Kusini

Shughuli ya kupiga Nchini Afrika Kusini ilianza vyema mapema leo asubuhi huku idadi kubwa ya wapigaji kura ikijitokeza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani