Migogoro inavyozoeleka vyuoni
Tabia ya wanafunzi wa elimu ya juu kugoma ili kushinikiza Serikali au uongozi wa chuo husika kufanya jambo fulani imeanza kuzoeleka nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Yanayowasibu wanafunzi vyuoni — 2
10 years ago
Habarileo28 Oct
Wanafunzi vyuoni kuendelea kukopeshwa
SERIKALI imesisitiza kuwa itaendelea kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wote wenye sifa za kujiunga na vyuo mbalimbali vya elimu bila ubaguzi au kujali kuwa mwanafunzi aliyechaguliwa anakwenda kusoma chuo binafsi au cha serikali.
10 years ago
Mwananchi09 Oct
Ulipaji wa mikopo vyuoni waongezeka
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Wanaovaa hovyo vyuoni kudhibitiwa
SERA ya kudhibiti mavazi yasiyoendana na maadili, yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini, inaelezwa itakuwa muarobaini kwa wanafunzi husika. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, Mkuu wa...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Wanaolipiwa na Bodi ya Mikopo kutofukuzwa vyuoni
SERIKALI imepiga marufuku kufukuzwa vyuo kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu wanaodhaminiwa na Serikali na kwamba dhamana yao inabebwa na Wizara ya Fedha.
11 years ago
Uhuru NewspaperAda elekezi sasa kupangwa vyuoni
SERIKALI imeanza kufanya utafiti wa kina kwa kushirikisha wadau mbalimbali ili kuweza kupanga ada elekezi kwa programu zote zinazofundishwa katika vyuo vikuu nchini.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, alipokuwa...
11 years ago
Habarileo06 Jun
Serikali yaanza kusambaza kompyuta vyuoni
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali kwa sasa imeanza kusambaza kompyuta katika vyuo vikuu nchini kwa lengo la kuboresha elimu kwa wanafunzi. Pia, amesema baadaye Serikali itaanza kusambaza kompyuta ndogo zinazobeba vitabu kidijitali, maarufu kama tabuleti (tablets) kwa wanafunzi.
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Elimu ya ujasiriamali shuleni na vyuoni inawezekana- 1
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Umuhimu wa mafunzo ya ujasiriamali shuleni na vyuoni