Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Migogoro ya uvuvi yapungua

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imesema kwamba migogoro ya uvuvi Unguja na Pemba iliyochangiwa na kuwepo kwa uvuvi haramu katika maeneo ya mwambao wa pwani, sasa imepungua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA UHALIFU NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 3.2 MAKOSA YA BARABARANI NAYO YAPUNGUA

Charles James, Globu ya Jamii

IDADI ya matukio ya uhalifu nchini imepungua katika kipindi cha mwezi Januari na Februari mwaka huu ukilinganisha na kipindi kama hicho kwa mwaka 2019 .

Takwimu zinaonesha ndani ya kipindi cha mwaka huu matukio ya uhalifu 9,263 yaliripotiwa ukilinganisha na matukio 9,572 yaliyoripotiwa katika kipindi kama hicho cha mwaka jana hivyo kuwa na upungufu wa matukio 309 sawa na asilimia 3.2.

Akitoa taarifa hiyo mbele ya wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Uvuvi haramu unazorotesha sekta ya uvuvi ziwa Nyasa

Uvuvi usiokuwa endelevu unafanyika katika Ziwa Nyasa na kusababisha samaki adimu waliokuwapo kuendelea kutoweka mwaka hadi mwaka.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AWATAKA MAAFISA UVUVI KUSIMAMIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA SEKTA YA UVUVI



 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akisikiliza hoja na malalamiko kutoka kwa mmoja wadau wa sekta ya uvuvi katika Kijiji cha Kigombe Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga.Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe. Jumaa Aweso ( wa kwanza kutoka kulia) akifuatiwa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega wakikagua punda...

 

11 years ago

Habarileo

Maambukizi ya malaria yapungua

WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi VVU yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU yapungua

TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...

 

5 years ago

CCM Blog

MALARIA YAPUNGUA NCHINI

  Na.WAMJW,ChunyaTakwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na matumizi ya vyandarua kwa wanajamii kitaifa ni asilimia 52.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya uliofanyika wilayani Chunya.
Waziri Ummy amesema kuwa Mkoa wa Mbeya, upatikanaji wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maambukizi ya malaria yapungua Afrika

Juhudi za pamoja za kukabiliana na malaria zimechangia kuzuiwa kwa visa takriban 700 milioni vya maambukizi ya ugonjwa huo Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Matumizi ya kondomu nchini yapungua

 Imeelezwa kuwa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), yanaweza kuongezeka nchini hasa kwa vijana kutokana na kubainika kupungua kwa kasi ya matumizi ya mipira (kondomu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani