Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikakati mipya lala salama ya uchaguzi

Zikiwa zimesalia siku kumi na moja kupiga kura, vyama vya siasa vinavyochuana kwenye Uchaguzi Mkuu vimeweka mikakati mipya ya kukubalika kwa wananchi wengi zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mikakati mipya kudhibiti Ukimwi inahitajika

Jana mataifa mbalimbali yaliadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani ambayo hufanyika Desemba Mosi kila mwaka, kama siku maalumu ya kupanua ufahamu kuhusu maafa yanayoletwa na ugonjwa wa Ukimwi. Tarehe hiyo ndiyo siku ambayo kirusi cha Ukimwi kilitambulika rasmi mwaka 1981.

 

11 years ago

Mwananchi

Mzunguko wa Lala salama

Baada ya kuwa katika mapumziko ya takribani miezi mitatu, Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia katika mzunguko wa pili wa lala salama, ambapo nyasi za viwanja vinne zitahitaji maji ili kuzima moto wa timu nane zitakazoshuka dimbani kukwaana.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kura za Lala salama

Kampeni ni ushawishi. Kampeni ni kujikaribisha. Na kampeni ni kukubalika. Ikiwa zimebaki saa chache kufika siku ya siku (day of a day) kuna kila sababu ya kuendelea kufanya kampeni ili uweze kushawishi, kujikaribisha, na kukubalika. Kwa […]

The post Kura za Lala salama appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Habarileo

Ni Bajeti ya lala salama

BAJETI Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 19.87, imewasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, huku ikiwabana wananchi katika bidhaa na huduma za starehe, na kipaumbele kikubwa kikiwa elimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya lala salama

Dar es Salaam. Kwa mara kwanza Bajeti ya 2015/16, ambayo ni ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Nne, haijaongeza kodi katika bidhaa za pombe na sigara, badala yake imeendelea kupandisha kodi katika mafuta huku ikiminya uingizaji wa bidhaa nchini kwa ajili ya kulinda viwanda na wazalishaji wa ndani na kuongeza ajira.

 

9 years ago

CCM Blog

SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAJA NA MIKAKATI MIPYA KIUTENDAJI


 Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyuo Vikuu Zainab Abdallah, akizungumza na waandishi wa habari, jana jijini Dar es Salaam, Wengine kutoka kushoto ni Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Daniel Zenda, Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha, Luhende Luhende na Katibu wa Idara ya Elimu, Tafiti na Uongozi, Ally Hapi. (Picha na Bashir Nkoromo).


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa habari,
Kamati ya Uratibu ya Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Taifa, ilifanya...

 

10 years ago

CloudsFM

Lala salama Aisha Madinda

Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.

 

9 years ago

Habarileo

Wiki ya kampeni za lala salama

JUMAPILI ijayo Watanzania wote wenye sifa ya kupiga kura, watatumia haki yao hiyo kuchagua viongozi wa Taifa hili katika nafasi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wabunge, wawakilishi na madiwani nchi nzima.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete apangua lala salama

Rais KikweteNa Bakari Kimwanga, Dodoma

RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa mikoa, huku akiwahamisha sita na wengine watatu kuwapangia kazi nyingine.

Taarifa ya Ikulu iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na kusainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, wakuu wapya wa mikoa walioteuliwa ni Halima Dendego anayekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dk. Ibrahim Msengi, Katavi, Amina Masenza, Iringa na John Mongella, Kagera.

Taarifa hiyo ilisema kabla ya uteuzi huo, Halima Dendego...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani