Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikakati Ya taifa stars wa kukusanya fedha waanza.

Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars, imeanzisha kampeni ya kitaifa kukusanya fedha kuichangia timu hiyo kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 dhidi ya Algeria. Mbali na mchezo huo, pia fedha zitakazopatikana zitatumika katika masoko na uhamasishaji kwa ajili ya michezo yote ya mashindano itakayoshiriki Taifa Stars. Katika kampeni hiyo kamati inatarajia kukusanya jumla ya shilingi bilioni mbili iwapo kila Mtanzania atachangia kwa hiari shilingi mia moja....

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

TLC watembeza bakuli kukusanya fedha kurekodi album ya mwisho, zaidi ya $200,000 zachangwa

Ikiwa ni siku sita tu tangu waanzishe kampeni yao waliyoipa jina, Kickstarter, kundi la TLC limekusanya zaidi ya dola $200,000. T-Boz na Chilli walianzisha kampeni hiyo ili kuchangisha $150,000 kwaajili ya kurekodi album yao ya tano na ya mwisho. Hadi Ijumaa, walikuwa wamekusanya zaidi ya $205,000 na bado wana siku 26 za kuendelea kukusanya michango. […]

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ipo kwenye mikakati kukabili wizi wa fedha kwa kutumia mitandao

Jitihada za Serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitalaa yenye somo la ulinzi wa  mitandao.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania: Taifa lenye mikakati mizuri, tatizo ni utekelezaji

Kwa muda mrefu Serikali imekuwa ikianzisha mipango, sera, miradi na mikakati mbalimbali ya kilimo kwa lengo kuinua uchumi wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin

Mshambuliaji wa timu ya Taifa Stars,Juma Luizio akiipachikia bao nne timu yake katika mtangange wa kikataifa wa kirafiki dhidi ya Benin,uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda 4-1 dhidi ya Benin. Wachezaji wa Taifa Stars,wakishangilia ushindi wao huku wakiwaacha wapinzani wao wa Benin wakiwa hoi tena wakiwa hawaamini wanachokiona uwanjani hapo. Washabiki wa Taifa stars wakiisapoti vilivyo timu yao. Ubao wa ulionyesha hivi kabla jamaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

10 years ago

Michuzi

NHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini. **********

 

10 years ago

Mwananchi

Kidato cha nne waanza mtihani wa Taifa

Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari utakaokamilika baada ya siku 20, huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani