Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mikoa mitatu yapata tuzo utoaji chanjo

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imetoa tuzo kwa mikoa ya Mwanza, Mbeya na Ruvuma kwa kufikia malengo yaliyowekwa ya utoaji chanjo kwa watoto na wajawazito na kupunguza vifo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Chanjo yapata ukinzani Kenya

Nchini Kenya kumeibuka mvutano kati ya Kanisa Katoliki na wizara ya afya juu ya chanjo ya pepopunda.

 

10 years ago

Mwananchi

Ubingwa Simba upo mikoa mitatu

Ndoto ya Simba kumaliza katika nafasi mbili za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania itaamuliwa kwenye viwanja vitatu vya Sokoine (Mbeya), Kambarage (Shinyanga) na Uwanja CCM Mkwakwani mjini Tanga.

 

11 years ago

Michuzi

Waandishi 37 watunukiwa tuzo za maoni yao kuhusu kuboresha utoaji huduma Tuzo zilitolewa kwenye hafla maalum na Waziri wa Utawala bora

Twaweza, kama sehemu ya kazi zake kwenye Mpango wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi (OGP), imetoa tuzo za kompyuta (aina ya laptops) na taa zinazotumia nishati ya jua kwa waandishi 37 kutokana na mawazo yao juu ya namna Serikali na wananchi wanavyoweza kuboresha utoaji huduma kwenye sekta za elimu, afya na maji.
Shindano hili la kutafuta maoni ya wananchi lilizinduliwa kwa ushirikiano wa Twaweza pamoja na Serikali ya Tanzania mwezi Desemba 2012. Twaweza iliisaidia Serikali...

 

11 years ago

Michuzi

MARA GROUP YAPATA UONGOZI MPYA UTAKAOONGOZA KWA MIAKA MITATU

Jamii ya Mara Group ya Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imemchagua Philemon Oboro, kuwa Mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuwaangusha wapinzani wake watatu.
Akitangaza matokeo hayo jana, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi huo Samwel Ombeng alisema Oboro alipata kura 523, Philipo Mtanda Onyando kura 60, Allan Gichana kura 33 na Jackson Onyango Mutaban kura nane.
Ombeng alisema Elija Ambonya alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi kwa kupata kura 363 na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMANDA WA MIKOA MITATU YA MWANZA, SIMIYU NA SHINYANGA WAVUNJA NGOME HATARI YA MTANDAO WA UJAMBAZI

Wakizungumza kwa pamoja Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola alisema Januari 5, mwaka huu majira ya saa 7 mchana walimkamata Mabula Lyagwa (36) akiwa na jeraha la risasi kwenye bega lake la kulia baada ya kupokea taarifa kutoka kwa raia wema.
Alisema mtiliwa shaka huyo alipohojiwa alisema kuwa jeraha hilo alipigwa risasi na jambazi mwenzake aitwaye Njile Samweli wakati wakifanya tukio la ujambazi katika kijiji cha Idukilo kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AHITIMISHA ZIARA YAKE YA MIKOA MITATU MKOANI KILIMANJARO.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Moshi mjini kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela na kuwaambia kuwa wamekuwa na ushabiki kwa miaka 20 imefika wakati sasa kuamua kuchagua maendeleo kwa manufaa ya maisha yao.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wamekamilisha ziara yao ya mikoa mitatu ikiwemo Dodoma,Arusha na Kilimanjaro,Ziara hiyo ililenga Kuimarisha,kutekeleza na...

 

10 years ago

GPL

SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO

Mwimbaji Selena Gomez. Los Angeles, Marekani
MWIMBAJI Selena Gomez juzi aliibuka kwenye utoaji wa tuzo za filamu na kuwa kivutio kikubwa kutokana na gauni alilokuwa amevaa.Selena alikuwa kivutio kwenye tuzo hizo zinazojulikana kwa jina la Annual Hollywood Film Awards, ambazo sherehe zake zilifanyika mjini Beverly Hills, jijini Los Angeles. Mwimbaji huyo ambaye alikabidhi tuzo ya mchekeshaji bora ambayo ilitwaliwa na Amy...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA UTOAJI TUZO ZA KILI USIKU HUU

Young Killer akipokea tuzo ya Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka kutoka kwa msanii JB.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani