MIKOPO VYUO VIKUU: MADENTI ‘WAMBANA’ RAIS MAGUFULI MLANGO WA HAZINA
Yadaiwa baadhi ya wanafunzi wanalala Kituo cha Mabasi Ubungo, gesti! Washinda njaa, wajiuza Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni kero kufuatia waliopewa mamlaka ya kusimamia kushindwa kusimamia kwa muda unaotakiwa, jambo linaloleta usumbufu kwa wahusika. Uchunguzi wa safu hii umebaini kuwa tatizo hili limekuwa likijitokeza kila mwaka na hakuna mwenye uchungu wa kulitatua.Kutokana na usumbufu huo uliojitokeza kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1
11 years ago
Habarileo20 Mar
‘Wahitimu vyuo vikuu rejesheni mikopo’
KUKOSA ajira kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu, ambao walinufaika na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb), siyo sababu ya mhusika kutorejesha fedha zilizotumika kumsomesha; imeelezwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari, Elimu na Mawasiliano, Cosmas Mwaisobwa alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shughuli za bodi hiyo.
11 years ago
Habarileo20 Jun
Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo
IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini watakiwa kumsaidia Rais Dkt. Magufuli kupambana na ufisadi-Dr.Walukani
Proffessa, John Adamson Mwakilima akitunuku Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika Maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA chenye tawi lake Kata ya Mlandizi mkoani hapa mhitimu Walukani Luhamba ambaye ni Ofisa Mfawidhi wa Sumatra Mkoa wa Tanga juzi.
Dr.Walukani Luhamba akipongezwa na Familia yake mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Udaktari na Uzamivu wa Falsafa katika maswala ya Uongozi kutoka Chuo cha New Life Bible College and Seminary USA...
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
Global Education Link kusaidia mikopo vyuo vikuu
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Global Education Link (GEL), Abdumaliki Molle.
Na Mwandishi wetu
TAASISI ya Global Education Link (GEL), inayojishughulisha na masuala ya elimu ya juu, imesema ipo tayari kutoa mikopo kwa wazazi na walezi wanaohitaji watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi, ili kuwezesha vijana kuingia katika soko la ajira duniani.
Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi wa Udahiri wa taasisi hiyo, Zakiah Nassoro, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,...
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Bodi ya mikopo ilivyoshiriki maonesho ya vyuo vikuu Jijini Dar Es Salaam
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akipokea maelezo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kutoka kwa Ofisa wa HESLB Bi. Veneranda Malima katika maonesho ya vyuo vikuu yaliyomalizika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Picha na HESLB).
Ofisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa ELimu ya Juu (HESLB) Bw. Saleko Mandara (kushoto) akimwelekeza namna ya kujaza fomu ya kurejesha mkopo Bw. Suleiman Zidi Hisabu ambaye ni mwajiriwa wa Chuo...
9 years ago
MichuziBARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
9 years ago
Dewji Blog06 Nov
HESLB yajivua lawama wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo 2015/2016
Na Mwandishi wetu
Zaidi ya wanafundi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku nne tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000,...
11 years ago
Michuzi20 Feb