MIMEA INAYOSAIDIA KUONDOA TATIZO LA HEDHI NDOGO KUPITA KIASI
![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc7IalMsAqAOVwGKZiLyK2B6bSTzzLvLKmu614fY5kXN6SyBlkF4YIwYnwaG4W2lyfiCZQfo1eQ24FARLv6EwZlG/shutterstock_116468986.jpg?width=650)
Leo tutazungumzia ni mimea gani ambayo inaweza kumsaidia mwanamke hapohapo nyumbani kuweza kuondoa matatizo ya hedhi na kuondokana na adha za hapa na pale ambazo zinaweza kumsumbua kwa muda mrefu hata kumhangaisha sana katika harakati yake na mume wake kwenye kuijenga familia yake. Hivyo basi tutaangalia tatizo hili la hedhi ndogo kupita kiasi likoje kitaalamu na baadaye tutaangalia ni jinsi gani tunaweza kuliondoa kwa kutumia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Tatizo la aibu kupita kiasi kwa watoto
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Kwa nini tunatokwa jasho kupita kiasi?
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Hofu kupita kiasi ni janga linalowaathiri wengi
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Nini kifanyike kuzuia unene kupita kiasi?
MAFUTA ni kiungo muhimu kinachokipa chakula hadhi na kutengeneza ladha nzuri. Pia hutoa vitamini muhimu na vitamini-mafuta mumunyifu. Bila shaka kila mtu anafurahia kula vyakula vya kukaanga na vyenye jibini,...
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Unene kupita kiasi unachochea kisukari, saratani, kiharusi
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Hatari Kwa Watoto Wenye unene kupita kiasi
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Tatizo la mwanamke kukosa siku zake (hedhi)
10 years ago
MichuziKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
VijimamboKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY