Tatizo la mwanamke kukosa siku zake (hedhi)
 Inafahamika kwamba mwanamke au msichana yeyote aliyepevuka kikamilifu, hupata siku zake za kutokwa na damu isiyoganda katika njia ya uzazi mara moja kwa mwezi. Dalili hiyo inaashiria ukomavu katika viungo vya uzazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mw67HZ-Xq3CoivDW5Rs*NpsI1L2jE2zVki2qOdfYUeb7XDxJc1EldzWj3qTFQZ6wEfLlcnD2KiV0PjFZw2QlhmT/shutterstock_116468986.jpg)
SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI-2
KARIBU msomaji wangu katika ukurasa huu ambao tumekuwa tukifundishana mengi yahusuyo afya zetu na tukipeana elimu ya kuboresha afya zetu. Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la mwanamke kukosa hedhi na tukazipitia baadhi ya sababu au vyanzo vya mwanamke kukosa hedhi. Napenda kukukumbusha kuwa mwanamke kukosa siku zake au hedhi kumegawanyika katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaokosa siku zao kwa kawaida bila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GlhbBvgh3mg6Hl8jkjA12BUVKorh-H*93lUN2g4SdfP0QVlZLyfTj6Hq4wqHfH3c7iUbVlubRxZub41FfMTX6UvlQhP4i*aU/HEDHI.jpg)
SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI
Nikukaribishe msomaji katika ukurasa wetu huu ambao tumekuwa tukijuzana mambo mengi ya msingi katika ustawi wa afya zetu. Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la wanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tuliangalia sababu na dalili za tatizo hilo la mwanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa tukashauriana mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuondokana na tatizo hilo. Leo ningependa tuangalie suala la mwanamke kukosa...
10 years ago
VijimamboKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
MichuziKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
GPLKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students Shule ya Sekondari ya St. Anthony.  Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc7IalMsAqAOVwGKZiLyK2B6bSTzzLvLKmu614fY5kXN6SyBlkF4YIwYnwaG4W2lyfiCZQfo1eQ24FARLv6EwZlG/shutterstock_116468986.jpg?width=650)
MIMEA INAYOSAIDIA KUONDOA TATIZO LA HEDHI NDOGO KUPITA KIASI
Leo tutazungumzia ni mimea gani ambayo inaweza kumsaidia mwanamke hapohapo nyumbani kuweza kuondoa matatizo ya hedhi na kuondokana na adha za hapa na pale ambazo zinaweza kumsumbua kwa muda mrefu hata kumhangaisha sana katika harakati yake na mume wake kwenye kuijenga familia yake. Hivyo basi tutaangalia tatizo hili la hedhi ndogo kupita kiasi likoje kitaalamu na baadaye tutaangalia ni jinsi gani tunaweza kuliondoa kwa kutumia...
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
India: Gumzo la mwanamke anapokuwa kwenye hedhi limerudi tena mitandaoni
India wanafunzi wa chuo wamelazimishwa kuvua nguo zote kukaguliwa kama wako kwenye hedhi au la
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1lulkfTMw34/VWgbNQo2A3I/AAAAAAAC5Kg/pfSVQy1uRgg/s72-c/Picture%2B3.jpg)
Tanzania yaadhimisha siku ya hedhi duniani
Tanzania imeadhimisha siku ya hedhi duniani, ambapo wizara ya elimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekubaliana kuandaa na kusimamia sera inayoondoa vikwazo kwa watoto wa kike katika masomo yao.
Akizungumza katika maadhimisho hayo jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Elimu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Madina Kemilembe, alisema kukosekana kwa miundombinu rafiki mashuleni kunasababisha wanafunzi kutohudhuria masomo.
Alisema ukosefu wa mazingira bora kama vyoo, maji safi...
Akizungumza katika maadhimisho hayo jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Elimu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Madina Kemilembe, alisema kukosekana kwa miundombinu rafiki mashuleni kunasababisha wanafunzi kutohudhuria masomo.
Alisema ukosefu wa mazingira bora kama vyoo, maji safi...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Tatizo la mwanaume kupoteza au kukosa korodani
Ni tatizo au ugonjwa unaoweza kumpata mwanaume yeyote lakini zaidi kwa watoto wa kiume, hali hii inatokana na mtoto wa kiume kuzaliwa bila kuwa na korodani na hivyo mifuko ya korodani japo ipo lakini mitupu, au kuzaliwa na korodani lakini baadae zikapotea ghafla ukubwani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania