Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI

Nikukaribishe msomaji katika ukurasa wetu huu ambao tumekuwa tukijuzana mambo mengi ya msingi katika ustawi wa afya zetu. Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la wanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tuliangalia sababu na dalili za tatizo hilo la mwanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa tukashauriana mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuondokana na tatizo hilo. Leo ningependa tuangalie suala la mwanamke kukosa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SABABU ZA MWANAMKE KUKOSA HEDHI-2

KARIBU msomaji wangu katika ukurasa huu ambao tumekuwa tukifundishana mengi yahusuyo afya zetu na tukipeana elimu ya kuboresha afya zetu. Wiki iliyopita tuliangalia tatizo la mwanamke kukosa hedhi na tukazipitia baadhi ya sababu au vyanzo vya mwanamke kukosa hedhi. Napenda kukukumbusha kuwa mwanamke  kukosa siku zake au hedhi kumegawanyika katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaokosa siku zao kwa kawaida bila...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la mwanamke kukosa siku zake (hedhi)

 Inafahamika kwamba mwanamke au msichana yeyote aliyepevuka kikamilifu, hupata siku zake za kutokwa na damu isiyoganda katika njia ya uzazi mara moja kwa mwezi. Dalili hiyo inaashiria ukomavu katika viungo vya uzazi.

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Gumzo la mwanamke anapokuwa kwenye hedhi limerudi tena mitandaoni

India wanafunzi wa chuo wamelazimishwa kuvua nguo zote kukaguliwa kama wako kwenye hedhi au la

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students  Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni muandaaji wa siku ya Hedhi...

 

10 years ago

Michuzi

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY

 Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni muandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa Tanzania akielezea umuhimu wa kutunza Mazingira wanapokuwa Hedhi na kuithamini miundombinu. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony wakiwa wanafuatilia kwa makini Semina hiyo. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St....

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY‏

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students  Shule ya Sekondari ya St. Anthony.  Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi… ...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 5

Msomaji wetu tunaendelea na mada yetu kuhusiana na sababu zinazowafanya baadhi ya wanaume kutokuwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Virutubisho ndani ya vyakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni Antioxidants, vitamin C, vitamin E, Potassium na zinc. Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanaume (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula vyovyote vyenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya...

 

9 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA - 4

Baada ya wiki iliyopita kuelezea mambo kadhaa yanayosababisha wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa, leo nitaelezea tatizo la kuwahi kufika kileleni Katika vitu ambavyo wanaume wengi hawapendi vijulikane na wenzi wao ni tatizo la kuwahi kufika kileleni. Kila mwanaume hupenda aonekane ni rijali au mwanaume kamili mwenye uwezo wa kushiriki tendo la ndoa bila shida yoyote. Na imezoeleka katika jamii zetu ikiwa mwanaume atakuwa ana...

 

10 years ago

GPL

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

Natumai utakuwa u mzima wa afya kabisa. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama ilivyo kwa wanawake.
Katika makala haya tutaaangalia kwa kina sababu za tatizo hili kwa wanaume na athari zake na mwisho tutajifunza njia za kutatua au kuondokana na tatizo hili. Mwili wa mwanadamu uliumbwa ukiwa na matamanio na si mbaya kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani