Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miriam Odemba atembelea shule ya msingi aliyowahi kusoma mkoani Arusha.

Mwanamitindo wa Kimataifa,Miriam Odemba ametua Bongo na kutembelea shule ya msingi aliyowahi kusoma ya Mery iliyopo mkoani Arusha na kuzungumza na wanafunzi wanaosoma hapo.

Miriam alisema kuwa amebarikiwa sana kupata nafasi ya kusoma katika shule hiyo ambayo imenifanya asiwe na uoga na kudhubutu kufanya chochote kitu kilichosababisha kunifikisha hapa nilipo. ‘’ nimejifunza vitu vingi sana ambavyo hakuna mtu yeyote ambaye anaweza akaninyanga’nya kwani mafanikio niliyoyapata sasa hivi ni...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Miriam Odemba akava jarida jipya la New African Woman

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania, Miriam Odemba amekava jarida jipya la New African Woman toleo la 26. “Finally …and…drumroll… to our esteemed south african readers …heading your way soon…here is the August/September edition south African cover. our African rose Miriam Odemba is sizzling,” wameandika. Kuhusu jarida hilo NEW AFRICAN WOMAN is a colourful lifestyle magazine […]

 

11 years ago

Mwananchi

Kusoma, kuhesabu kunavyowasumbua wanafunzi shule za msingi

Tangu mwaka 2010, taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Twaweza kupitia mradi wake wa Uwezo, imekuwa ikifanya tafiti katika nchi za Afrika Mashariki zinazolenga kubaini uwezo wa watoto wa shule za msingi katika stadi za kusoma na kuhesabu.

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI TAMASHA LA KUSOMA VITABU WANAFUZNI WA SHULE ZA MSINGI

 Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Mshangama akiwaonyesha fomu ya kujiunga na uanchama wa hiari na fao la matibabu baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na NSSF wakati wa tamasha la wa kusoma vitabu wanafunzi wa shule za msingi, lililofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na NSSF. Ofisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Mshangama (kushoto) akifafanua jambo kwa wanachama...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI MPILIPILI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kufundisha darasa la wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mpilipili huko Lindi.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza mtoto Mohammed Hashim mara baada ya kuimba wimbo wa Taifa.Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akisahihisha madaftari ya wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma Shule ya Msingi Mpilipili katika Manispaa ya Lindi mara baada ya kuwafundisha na kuwapa zoezi wanafunzi hao.Mke wa...

 

9 years ago

StarTV

Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule

Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.

Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...

 

9 years ago

Vijimambo

BUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.

Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.

Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Mkapa atembelea shule ya msingi Manyara Ranchi,Wilayani Monduli

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo(jumatatu) amefanya ziara kumtembelea Shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African wildlife foundation wilayani Monduli.
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo. Rais mstaafu wa awamu wa...

 

9 years ago

Michuzi

BUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao  cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA MSINGI MKOANI SINGIDA KUPOKEA VITABU 200

Shule tatu za msingi katika mkoa wa Singida,zitapokea vitabu 200 wiki hii kusaidia katika mchakato wa kuboresha elimu ya shule ya msingi. Vitabu hivi vimetolewa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Children’s Book Project for Tanzania na italenga maelfu ya watoto nchini kote katika kuwakomboa kielimu.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vitabu hivyo,Afisa Mipango wa Children’s Book Project for Tanzania,Ramadhani Ali alisema kuwa Watoto wanaotakiwa kupata vitabu hivi ni wale walio na uhitaji sana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani