Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISRI YATAKA BARA LA AFRIKA LIPEWE HAKI YA KURA YA VETO

Misri yataka bara la Afrika lipewe haki ya kura ya vetomwakilishi wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametaka bara la Afrika lipewe viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama la umoja huo na haki ya kura ya veto (turufu).Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imesema kuwa, mwakilishi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa, Mohamed Idris ametoa ombi hilo sambamba na kuanza kikao cha duru mpya ya mazungumzo ya Baraza la Usalama kuhusu mabadiliko na ustawi ndani ya jumuiya hiyo ya kimataifa.Taarifa hiyo imesema kuwa, mwakilishi wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

GFA yataka raisi atakayelibeba bara la Afrika

Wakati siku za kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata raisi mpya wa shirikisho la soka duniani FIFA zikizidi kuhesabika,Chama cha soka nchini Ghana GFA kimeweka masharti kuwa kitakuwa tayari kumpigia kura mgombea atayeonyesha utayari wa kuongeza timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia.

Mbali na kuongeza timu shiriki katika kombe la dunia kutoka 32 hadi 40,Mwenyekiti wa GFA Kwesi Nyantakyi amesema raisi watakayempigia kura ni muhimu atoe kipaumbele katika kulipiga jeki bara la Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Amnesty Int imetaka kura ya Veto itumike

Amnesty International limetaka wanachama wa kudumu wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kutumia kura ya Veto kutetetea haki

 

10 years ago

BBCSwahili

Misri yataka jeshi la pamoja kuundwa

Misri imetaka kuwepo kwa kikosi cha pamoja cha nchi za kiarabu kukabiliana na vikundi vya wapiganaji vinavyochipuza .

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri yataka Youtube kuondoa kanda ya dhuluma

Misri imeomba YouTube kuondoa video ya mwanamke akinyanyaswa kimapenzi katika mkutano wa kisiasa Cairo

 

5 years ago

CHADEMA Blog

9 years ago

Mwananchi

KKKT yataka haki, usawa Uchaguzi Mkuu 2015

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetaka mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu kuendeshwa kwa haki na usawa, huku likisisitiza elimu ya uraia itakayowawezesha wananchi kufanya uamuzi sahihi Oktoba 25.

 

10 years ago

Dewji Blog

UN yataka serikali kufanyia kazi mianya inayotishia haki za binadamu

DSC_0102

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba  na mkutano wa kujadili utekezaji wa makubaliano ya haki za binadamu nchini na maandalizi ya ripoti ijayo yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). 

Na Mwandishi  wetu

MRATIBU Mkazi  wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)...

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri yazuia maafisa wa haki za binadam

Serikali ya Misri imewanyima vibali vya kuingia nchini maafisa wawili wa kupigania haki za kibinadamu ikihofia usalama wao.

 

10 years ago

GPL

UN YATAKA SERIKALI KUFANYIA KAZI MIANYA INAYOTISHIA HAKI ZA BINADAMU‏

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bibi Mary Massay akitambulisha meza kuu wakati wa maadhimisho ya Siku ya haki za binadamu yaliyoenda sambamba na mkutano wa kujadili utekezaji wa makubaliano ya haki za binadamu nchini na maandalizi ya ripoti ijayo yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mh Ali Hassan Rajab akizungumza wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani