GFA yataka raisi atakayelibeba bara la Afrika
Wakati siku za kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata raisi mpya wa shirikisho la soka duniani FIFA zikizidi kuhesabika,Chama cha soka nchini Ghana GFA kimeweka masharti kuwa kitakuwa tayari kumpigia kura mgombea atayeonyesha utayari wa kuongeza timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia.
Mbali na kuongeza timu shiriki katika kombe la dunia kutoka 32 hadi 40,Mwenyekiti wa GFA Kwesi Nyantakyi amesema raisi watakayempigia kura ni muhimu atoe kipaumbele katika kulipiga jeki bara la Afrika...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog16 Feb
MISRI YATAKA BARA LA AFRIKA LIPEWE HAKI YA KURA YA VETO
![Misri yataka bara la Afrika lipewe haki ya kura ya veto](https://media.parstoday.com/image/4bn16bcd07792avfrl_800C450.jpg)
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Raisi Edgar Lungu kutibiwa Afrika Kusini
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ju8_ZAE8OwA/VA7LOIfuWsI/AAAAAAAGiNA/-HsCOn2iSHI/s72-c/Jaji-Augustino-Ramadhan.jpg)
JAJI AUGUSTINO RAMADHAN AWA RAISI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
![](http://2.bp.blogspot.com/-ju8_ZAE8OwA/VA7LOIfuWsI/AAAAAAAGiNA/-HsCOn2iSHI/s1600/Jaji-Augustino-Ramadhan.jpg)
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imemteua Jaji mkuu mstaafu wa Tanzania Agustino Ramadhan kuwa rais wa mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka miwili uteuzi huounaanza mara moja baada ya aliyekuwa rais wa mahakama hiyo Sophia Akuffo wa Ghana kumaliza muda wake.
Jaji Ramadhani Mtanzania wa kwanza kushikilia kiti hicho tangia kuanzishwa kwa mahakama hiyo baada ya kupata kura 7 kwa kura nne dhidi ya mpinzania wake katika nafasi hiyo ya rais wa mahakama hiyo huku nafasi...
10 years ago
VijimamboHOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...
9 years ago
StarTV30 Nov
Matumizi Ya Kiswahili ZINDUKA yataka kitumike kwenye mijadala Afrika Mashariki
Jumuiko la makundi mbalimbali ya kijamii kutoka nchi za Afrika Mashariki kupitia umoja wao unaojulikana kama “ZINDUKA”,limekuja na mapendekezo ya kutaka matumizi rasmi ya lugha ya Kiswahili, katika mijadala na mikutano yote ya jumuiya ya Afrika mashariki.
Katika uwasilishwaji wa mapendekezo kutoka katika kusanyiko hilo la “ZINDUKA” lililokuwa likifanyika Jijini Arusha, ni kwamba Kiswahili hakijapewa uzito unaostahili ndani ya Afrika Mashariki.
Mmoja wa wasilishaji wa mapendekezo hayo...
11 years ago
CloudsFM07 Aug
CLOUDS FM YATAJWA REDIO BARA 20 AFRIKA
Clouds fm imetajwa katika listi ya redio 20 bora za barani Afrika, kwa mujibu wa mtandao wa network africa, asanteni sana jamani tunajua kuwa hii nguvu ya waskilizaji na wadau wetu bofya hapo ushuhudie..http://www.networkafrica.com/top-20-best-radio-stations-africa/
10 years ago
MichuziBARA LA AFRIKA LAHIMIZWA KUWEKEZA ZAIDI - LOPEZ
Bw. Lopez akiwasilisha hotuba jijini Addis Ababa
Na Ally Kondo, Addis Ababa
Uchumi wa Bara la Afrika umeelezwa kuwa unakua kwa kasi zaidi ukilinganisha na mabara mengine duniani. Hayo yamesemwa na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Uchumi ya Afrika, Bw. Carlos Lopez wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa AU jijini Addis Ababa, Ethiopia siku ya Jumatatu tarehe 26 Januari 2015.
Bw. Lopez alithibitisha kauli yake hiyo kwa kunakili ripoti...
10 years ago
GPLMAADHIMISHO UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA YAANZA DAR!
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Soko la hisa Uchina laathiri bara Afrika