Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CLOUDS FM YATAJWA REDIO BARA 20 AFRIKA

Clouds fm imetajwa katika listi ya redio 20 bora za barani Afrika, kwa mujibu wa mtandao wa network africa, asanteni sana jamani tunajua kuwa hii nguvu ya waskilizaji na wadau wetu bofya hapo ushuhudie..http://www.networkafrica.com/top-20-best-radio-stations-africa/

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kusaga- Redio Clouds haiuzwi

kusagaNa Hamisa Maganga, Dar es Salaam

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, ambayo inamiliki Kituo cha Redio cha Clouds, Joseph Kusaga, amesema taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa redio hiyo imeuzwa kwa mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa hapa nchini, Rostam Aziz, siyo za kweli.

Kusaga aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kuhusu kusambaa kwa taarifa hizo na kueleza kuwa habari hizo ni uzushi unaopaswa kupuuzwa.

Kusaga alisema taarifa za...

 

11 years ago

Michuzi

MJUE MBWIGA WA MBWIGUKE,FUNDI SELEMALA ALIYELAMBA DUME NDANI YA REDIO CLOUDS FM

Kikwete na mtangazaji wa Cloud FM Mbwiga MbwigukeRais Dkt. Jakaya Kikwete akipozi katika picha na Mbwiga wa Mbwiguke wa Clouds fm (kulia)
Na Maregesi Paul
SIKU moja nilikuwa katika mkutano wa Jukwaa la Wahariri ambao mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginard Mengi.Katika mazungumzo yake, Mengi aligusia historia ya maisha yake ambapo alisema alikulia katika familia masikini.Kwa mujibu wa Mengi, nyumba aliyokulia ilikuwa na panya wengi pamoja na mende na kwamba kila walipokuwa wakilala usiku, wapita njia walikuwa...

 

10 years ago

StarTV

Utekelezaji TASAF, Tanzania yatajwa nchi ya mfano Afrika

Na Frederick Siwale,

Njombe.

 

Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya mfano kati ya nchi za Afrika ambazo zinatekeleza mradi kama wa TASAF awamu ya tatu tangu kuanza uhawilishaji fedha kwa kaya masikini mpango ambao umeanza mwaka 2013.

 

Hayo yalibainishwa na Afisa Habari na Mawasiliano wa TASAF Zuhura Mdungi katika warsha ya wataalamu wa mpango wa utambuzi wa kaya masikini wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

Mdungi alisema kwa hatua ambayo Tanzania imefikia katika kufanikisha uhawilishaji fedha kwa...

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI YATAJWA KUWA NA NJIA NYINGI ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
 Imeelezwa kuwa nchi ya Afrika Kusini katika bara la Afrika ndio inayoongoza kwa kuwa na njia nyingi za usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Heroine .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Habari wa Kituo Cha Habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC),Stella Vuzo alisema kuwa hilo limetokana na ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa za Kulevya ya Umoja wa Mataifa imeweka mkazo katika kwa nchi mwanachama kuweka mikakati katika...

 

9 years ago

GPL

PROGRAMU YA KUSOMEA MAGAZETI KWENYE SIMU “mPaper” YATAJWA KUWANIA TUZO 2 AFRIKA

PROGRAMU ya kusomea magazeti kwenye simu za mikononi hapa nchini ya mPaper jana imetajwa kuwania tuzo mbili za ugunduzi kwa mwaka 2015 kutoka shirika la AppsAfrica lililopo nchini Afrika Kusini. mPaper imetajwa kuwania tuzo mbili, moja ni Programu bora ya Afrika na nyingine ni Tuzo ya ugunduzi bora wa kielimu. Hizi ni habari njema kwa Watanzania wote, hasa ukizingatia ni wiki hii mwanamuziki wa Kitanzania, Naseeb Abdul...

 

10 years ago

Michuzi

CLOUDS FM YASHINDA TENA TUZO YA UBORA YA SUPERBRAND KWA MARA YA TATU AFRIKA MASHARIKI.

 Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce Mhaville,Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Bwa.Ruge Mutahaba,Meneja Masoko Bwa. Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya Alliance Insurance. Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Bwana Jawad Jaffer akiwa na baadhi ya viongozi wa juu wa kampuni ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Clouds FM yashinda tena tuzo ya ubora ya Superbrand kwa mara ya tatu Afrika Mashariki

Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce Mhaville, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Bwa.Ruge Mutahaba, Meneja Masoko Bwa. Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya Alliance Insurance.

Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Bwana Jawad Jaffer akiwa na baadhi ya viongozi wa juu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani