Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utekelezaji TASAF, Tanzania yatajwa nchi ya mfano Afrika

Na Frederick Siwale,

Njombe.

 

Tanzania inatajwa kuwa ni nchi ya mfano kati ya nchi za Afrika ambazo zinatekeleza mradi kama wa TASAF awamu ya tatu tangu kuanza uhawilishaji fedha kwa kaya masikini mpango ambao umeanza mwaka 2013.

 

Hayo yalibainishwa na Afisa Habari na Mawasiliano wa TASAF Zuhura Mdungi katika warsha ya wataalamu wa mpango wa utambuzi wa kaya masikini wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

 

Mdungi alisema kwa hatua ambayo Tanzania imefikia katika kufanikisha uhawilishaji fedha kwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI ZA AFRIKA

 Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika kutekeleza mipango yake hasa  kwenye miundombinu. Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete  na kushoto kwake ni  Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard.Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kuhusu Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MAJADILIANO YA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFANIKIO NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA MJINI ABIDJAN

 Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika kutekeleza mipango yake hasa  kwenye miundombinu. Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete  na kushoto kwake ni  Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard.Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha   na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kuhusu Tanzania...

 

11 years ago

CloudsFM

CLOUDS FM YATAJWA REDIO BARA 20 AFRIKA

Clouds fm imetajwa katika listi ya redio 20 bora za barani Afrika, kwa mujibu wa mtandao wa network africa, asanteni sana jamani tunajua kuwa hii nguvu ya waskilizaji na wadau wetu bofya hapo ushuhudie..http://www.networkafrica.com/top-20-best-radio-stations-africa/

 

11 years ago

Mwananchi

‘Muungano wa Tanzania mfano kwa nchi za EAC’

>Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeelezwa kuwa mfano halisi unaothibitisha uwezekano wa kuanzishwa na kudumu kwa Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC).

 

10 years ago

Michuzi

AFRIKA KUSINI YATAJWA KUWA NA NJIA NYINGI ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
 Imeelezwa kuwa nchi ya Afrika Kusini katika bara la Afrika ndio inayoongoza kwa kuwa na njia nyingi za usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine na Heroine .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Afisa Habari wa Kituo Cha Habari wa Umoja wa Mataifa (UNIC),Stella Vuzo alisema kuwa hilo limetokana na ripoti ya Bodi ya Kupambana na Dawa za Kulevya ya Umoja wa Mataifa imeweka mkazo katika kwa nchi mwanachama kuweka mikakati katika...

 

5 years ago

Michuzi

TASAF KUANZA UTEKELEZAJI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YAKE YA TATU NCHINI KOTE.


Mfuko wa Maendeleo ya Jamii- TASAF umekamilisha mipango itakayowezesha kuanza kwa utekelezaji wa Kipindi cha Pili cha Awamu yake ya TATU kufuatia uzinduzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga amekutana na Wandishi wa Habari jijini Dar es salaam na kuwajulisha kuwa mipango ya kuanza utekelezaji wa kipindi cha pili ambayo imezingatia maelekezo ya Serikali inaelekea kukamilika.

Mkurugenzi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Namibia mfano wa kuigwa Afrika

Chama cha Ukombozi wa Namibia SWAPO, kimeshinda kwa zaidi ya asilimia 86 ya kura za uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo

 

9 years ago

GPL

PROGRAMU YA KUSOMEA MAGAZETI KWENYE SIMU “mPaper” YATAJWA KUWANIA TUZO 2 AFRIKA

PROGRAMU ya kusomea magazeti kwenye simu za mikononi hapa nchini ya mPaper jana imetajwa kuwania tuzo mbili za ugunduzi kwa mwaka 2015 kutoka shirika la AppsAfrica lililopo nchini Afrika Kusini. mPaper imetajwa kuwania tuzo mbili, moja ni Programu bora ya Afrika na nyingine ni Tuzo ya ugunduzi bora wa kielimu. Hizi ni habari njema kwa Watanzania wote, hasa ukizingatia ni wiki hii mwanamuziki wa Kitanzania, Naseeb Abdul...

 

10 years ago

Mwananchi

Afrika iige mfano wa China katika maendeleo

Nikiwa katika zunguka zunguka yangu kwenye maduka ya bidhaa katikati ya jiji la Dar es salaam, naingia kwenye duka la mapazia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani