TASAF KUANZA UTEKELEZAJI WA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YAKE YA TATU NCHINI KOTE.
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii- TASAF umekamilisha mipango itakayowezesha kuanza kwa utekelezaji wa Kipindi cha Pili cha Awamu yake ya TATU kufuatia uzinduzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga amekutana na Wandishi wa Habari jijini Dar es salaam na kuwajulisha kuwa mipango ya kuanza utekelezaji wa kipindi cha pili ambayo imezingatia maelekezo ya Serikali inaelekea kukamilika.
Mkurugenzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI KUZINDUA KIPINDI CHA PILI CHA AWAMU YA TATU YA TASAF
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari leo alipokuwa akizungumza nao kuhusu uzinduzi wa Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) utakaofanyika siku ya Jumatatu tarehe 17Februari, 2020 kwenye...
5 years ago
MichuziRais Dkt. Magufuli azindua Kipindi cha Pili cha Awamu ya tatu ya Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa TASAF III
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuzindua Kipindi cha awamu...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE ATANGAZA MAFANIKIO YA WIZARA YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA KUMI YA SERIKALI YA AWAMU YA NNE
10 years ago
VijimamboBODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015
Mkutano na...
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Wizara ya Fedha yakutana na uongozi wa MCC kujadili utekelezaji awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania
Wizara ya Fedha ya kutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) nakujadili jinsi ya kufanikisha awamu ya pili ya mfuko huo nchini Tanzania. Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue naye alikuwepo katika ujumbe huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia. Wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za Nje Bw. Saidi Ngosha Magonya.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na...
10 years ago
StarTV10 Jan
Awamu ya tatu TASAF, Madiwani Karagwe waonywa.
Na Mariam Emily,
Karagwe.
Madiwani mkoani Kagera wametakiwa kutotumia vibaya nafasi zao za uongozi katika mpango wa TASAF awamu ya tatu unaolenga kunusuru kaya Masikini kwa kuingiza kaya zisizostahili.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga wakati wa warsha ya kujenga uelewa wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Mkurugenzi wa uratibu wa TASAF Alphonce Kyariga aliwataka Madiwani kuwa mstari wa mbele katika kuhimiza jamii zao kupokea mpango huo kwa mikono...
10 years ago
MichuziKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
10 years ago
StarTV10 Jan
Awamu ya tatu TASAF, Serikali kuwachukulia hatua wenye ubinafsi.
Na Richard Katunka,
Kigoma.
Serikali inakusudia kuchukua hatua kali dhidi ya watu wanaotajwa kuvuruga mpango wa TASAF awamu ya Tatu kwa maslahi yao binafsi.
Katika mafunzo maalumu kwa viongozi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma juu ya utekelezaji wa malengo ya TASAF awamu ya tatu, Mkuu wa Wilaya hiyo Danny Makanga amesema zipo taarifa za baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na watendaji wasio waaminifu kutaka kuvuruga zoezi hilo kwa maslahi yao binafsi.
Ikiwa ni mwaka mmoja tangu...