Kusaga- Redio Clouds haiuzwi
Na Hamisa Maganga, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media Group, ambayo inamiliki Kituo cha Redio cha Clouds, Joseph Kusaga, amesema taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa redio hiyo imeuzwa kwa mfanyabiashara mwenye ukwasi mkubwa hapa nchini, Rostam Aziz, siyo za kweli.
Kusaga aliyasema hayo jana, wakati akizungumza na MTANZANIA Jumamosi kuhusu kusambaa kwa taarifa hizo na kueleza kuwa habari hizo ni uzushi unaopaswa kupuuzwa. Kusaga alisema taarifa za...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
10 years ago
CloudsFM20 Feb
Kusaga: Clouds Media Group haijauzwa kwa Rostam
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga amesema kuwa Clouds Media Group haijauzwa kwa mfanyabiasha mkubwa hapa nchini,Rostam Aziz kama ambavyo taarifa hizo zilivyokuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo moja kwa moja kutoka nchini Dubai alisema kuwa taarifa hiyo ameisikia na kwamba amekuwa akipigiwa sana simu na wadau mbalimbali kuhusiana na habari hizo na kusema kuwa ni jinsi gani watanzania wamekuwa wakitumia...
10 years ago
Dewji Blog21 Feb
Kusaga: Habari za kuuzwa Clouds Media Group ni uzushi wa kupuuzwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga.
Na Mwandishi Wetu, Dar
TAHARUKI iliyosambaa jana kwenye mitandao kijamii juu ya kuuzwa kwa Clouds Media Group, inayomiliki Clouds FM, Clouds Tv na Choice FM, zimepata majibu baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Joseph Kusaga, kuibuka na kukataa habari hizo na kuziita ni uzushi wa kupuuzwa.
Habari za kuuzwa kwa kampuni hiyo dhidi ya mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rostam Aziz, zilishika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wGwVB_Gm4fc/VObbt9RWqcI/AAAAAAAHEro/t3vQ2wwY5QM/s72-c/IMG-20150219-WA0104.jpg)
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA GROUP,JOSEPH KUSAGA AKANUSHA TAARIFA YA KUUZWA KWA KITUO CHAKE.
![](http://4.bp.blogspot.com/-wGwVB_Gm4fc/VObbt9RWqcI/AAAAAAAHEro/t3vQ2wwY5QM/s1600/IMG-20150219-WA0104.jpg)
11 years ago
CloudsFM07 Aug
CLOUDS FM YATAJWA REDIO BARA 20 AFRIKA
Clouds fm imetajwa katika listi ya redio 20 bora za barani Afrika, kwa mujibu wa mtandao wa network africa, asanteni sana jamani tunajua kuwa hii nguvu ya waskilizaji na wadau wetu bofya hapo ushuhudie..http://www.networkafrica.com/top-20-best-radio-stations-africa/
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-z8CpHhJyMco/U9qebUZ0HyI/AAAAAAAA-Uw/MhY3xSDkUYY/s72-c/bwiga.jpg)
MJUE MBWIGA WA MBWIGUKE,FUNDI SELEMALA ALIYELAMBA DUME NDANI YA REDIO CLOUDS FM
![Kikwete na mtangazaji wa Cloud FM Mbwiga Mbwiguke](http://darcitycenter.com/wp-content/uploads/2014/07/Kikwete-na-mtangazaji-wa-Cloud-FM-Mbwiga-Mbwiguke.jpg)
Na Maregesi Paul
SIKU moja nilikuwa katika mkutano wa Jukwaa la Wahariri ambao mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginard Mengi.Katika mazungumzo yake, Mengi aligusia historia ya maisha yake ambapo alisema alikulia katika familia masikini.Kwa mujibu wa Mengi, nyumba aliyokulia ilikuwa na panya wengi pamoja na mende na kwamba kila walipokuwa wakilala usiku, wapita njia walikuwa...
10 years ago
Michuzi22 Aug
10 years ago
Dewji Blog29 Apr
Fanyeni redio zenu zitamanike, wamiliki redio jamii waambiwa
Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya masoko na mpango biashara kwa viongozi wa redio jamii nchini wakati kuhitimisho la warsha ya awamu ya kwanza ya mradi wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) wa kuzipa uwezo Redio hizo katika matumizi ya Tehama na Mawasiliano iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na...