Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS DAR CITY CENTRE 2014 TALENT SHOW KUTIKISA MAISHA CLUB



 Warembo wanaowania taji la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa Habari hii leo. Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari, pamoja nae ni Mkufunzi wa warembo hao.   ********* Na Father Kidevu Blog  WANYANGE 20 wanao wania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Clab wakati wa shindano lao la Vipaji.
Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Miss Dar City Centre 2014 Talent Show kutikisha Maisha Club Ijumaa hii

Dar city 2

Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari, pamoja nae ni Mkufunzi wa warembo hao.

Dar city 1

Warembo wanaowania taji la Miss Dar City Center 2014 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano na waandishi wa Habari hii .

Na Father Kidevu Blog

WANYANGE 20 wanao wania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Club wakati wa shindano lao la Vipaji.

Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich Mavoko, Bonge la Nyau na TID...

 

11 years ago

Michuzi

JIHAN NDIYE MISS DAR CITY CENTRE 2014

 Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani   Washiriki wa Miss Dar City Centre wakitoa burudani Hatimaye mbio za kumsaka Miss dar City Centre 2014 zahitimishwa  usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Dar es salaam free market baada ya mshiriki namba kumi na saba (17) Jihan Dimechk kutawazwa mshindi wa Miss Dar City centre 2104. Picha na Justine Kazaura wa Light Photo Studio

 

11 years ago

GPL

TOP 5 MISS DAR CITY CENTER WAPATIKANA –MAISHA CLUB

Bonge la Nyau akiburudisha.
Baadhi ya warembo wa Miss Dar City Center-2014.
Majaji wakifuatilia mashindano kwa makini.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Miss Dar City Centre kufanyika Mei 24

Untitled 2

Na Father Kidevu Blog 

SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15.

Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka huu shindano hilo litambapwa na vionjo tofauti tofauti ili kulifanya kuwa la aina yake.

Judith alisema kwamba, wameangalia changamoto zilizotokea kwa waandaaji wa waliopita wa shindano hilo, ili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani