MISS IRINGA KUFANYIKA JUNI 20
![](http://3.bp.blogspot.com/-dbWxhwpnz6o/U5mE-gFVhvI/AAAAAAACjS8/BlpbyLxR528/s72-c/1.jpg)
Baadhi ya washiriki wa redds miss iringa wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mazoezi katika ukumbi wanakofanyia mazoezi hotel ya Gentle Hill iliyoko mkoani Iringa.
Na Denis Mlowe,Iringa
HATIMAYE kinyang’anyiro cha kumsaka Redds Miss Iringa kinatarajia kufanyika Juni 20 mwaka huu baada ya aliyekuwa mratibu wa kwanza Mohamed Mcholeka kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kushindwa kufanyika Juni 6 kama lilivyopangwa mwanzoni na Tanzania Daima kuwa la kwanza kuripoti kuhusiana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-no_FQ1qwiKc/U2j3CgzlK_I/AAAAAAAFf7g/rIrJPTqhmCU/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Miss Tabata kufanyika Juni 6
![](http://4.bp.blogspot.com/-no_FQ1qwiKc/U2j3CgzlK_I/AAAAAAAFf7g/rIrJPTqhmCU/s1600/unnamed+(8).jpg)
Shindano la kumtafuta Redds Miss Tanzania Tabata 2014 limepangwa kufanyika Juni 6 katika ukumbi wa Da’ West Park.
Mratibu wa Miss Tabata Joseph Kapinga alisema kuwa warembo 24 watachuana vikali kutaka kumrithi Dorice Mollel ambaye anashikilia taji hilo.
Dorice pia ndiye anayeshikilia taji la Redds Miss Ilala.
Kapinga alisema kuwa warembo hao wanaendelea kujifua katika ukumbi wa Da’ West kila siku kuanzia saa nane mchana chini ya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Sasa Redd’s Miss Iringa Juni 20
HATIMAYE kinyang’anyiro cha kumsaka Redd’s Miss Iringa kinatarajia kufanyika Juni 20, baada ya aliyekuwa Mratibu wa kwanza, Mohamed Mcholeka kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kushindwa kufanyika Juni 6 kama...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Bonanza la Bandari kufanyika TCC Juni 22
BONANZA lililopewa jina la ‘Bandari Bonanza’, linatarajiwa kufanyika, Juni 22, katika ukumbi wa Harbors Club, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mratibu wa Bonanza hilo, Rajab Mteta ‘KP’, Bonanza...
9 years ago
Bongo511 Dec
Miss World na Miss Universe kufanyika katika siku za kufuatana, Dec 19 na Dec 20
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/page-300x194.jpg)
Mashidano ya urembo duniani, Miss World na Miss Universe yatafanyika katika siku zinazofuatana.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss World 2015, Lilian Kamazima
Miss World itafanyika Jumamosi ya December 19 na Miss Universe Jumapili ya December 20. Miss World inafanyika huko Sanya, China wakati Miss Universe itafanyika Las Vegas nchini Marekani.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss Universe 2015, Lorraine Marriott.
Katika Miss World, Tanzania inawakilishwa na Lilian...
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HISTORICAL MARATHONI KUFANYIKA JUNI 14 MWAKA HUU.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa kampuni ya Vision Investiment Dominic Mosha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Iadara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo.
Mosha alisema kuwa Tamasha la mwaka huu litakuwa na kauli mbiu ya “ANZA KUKIMBIA, UJIKINGE NA MAGONJWA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aQuT2LGMQ6M/VVs2D4rLpiI/AAAAAAAC4tg/8eGisUk0qeo/s72-c/KINYOYA.jpg)
UCHAGUZI MKUU WA TBA KUFANYIKA JUNI 10 MWAKA HUU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-aQuT2LGMQ6M/VVs2D4rLpiI/AAAAAAAC4tg/8eGisUk0qeo/s320/KINYOYA.jpg)
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limesogeza mbele siku ya kufanya uchaguzi wa Chama cha Mchezo wa Vinyoya Tanzania (TBA) ambapo unatarajiwa kufanyika Juni 10
mwaka huu katika ukumbi wa Baraza hilo.
Hayo yamesemwa na Afisa habari Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Najaha Bakari wakati akizungumza na Mwandishi wetu kwa Njia ya simu.
Pia Najaha amesema kuwa Baraza hilo linaongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu za Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mchezo wa...
10 years ago
MichuziMASHINDANO YA BAISKELI KUFANYIKA JIJINI DAR JUNI 14 MWAKA HUU.
10 years ago
GPLTAMASHA LA MICHEZO, AFYA KUFANYIKA JUNI 14 LEADERS JIJINI DAR
10 years ago
GPL‘BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON’ KUFANYIKA JUNI 14, 2015