Miss Tabata kufanyika Juni 6
![](http://4.bp.blogspot.com/-no_FQ1qwiKc/U2j3CgzlK_I/AAAAAAAFf7g/rIrJPTqhmCU/s72-c/unnamed+(8).jpg)
Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi.
Shindano la kumtafuta Redds Miss Tanzania Tabata 2014 limepangwa kufanyika Juni 6 katika ukumbi wa Da’ West Park.
Mratibu wa Miss Tabata Joseph Kapinga alisema kuwa warembo 24 watachuana vikali kutaka kumrithi Dorice Mollel ambaye anashikilia taji hilo.
Dorice pia ndiye anayeshikilia taji la Redds Miss Ilala.
Kapinga alisema kuwa warembo hao wanaendelea kujifua katika ukumbi wa Da’ West kila siku kuanzia saa nane mchana chini ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dbWxhwpnz6o/U5mE-gFVhvI/AAAAAAACjS8/BlpbyLxR528/s72-c/1.jpg)
MISS IRINGA KUFANYIKA JUNI 20
![](http://3.bp.blogspot.com/-dbWxhwpnz6o/U5mE-gFVhvI/AAAAAAACjS8/BlpbyLxR528/s1600/1.jpg)
Na Denis Mlowe,Iringa HATIMAYE kinyang’anyiro cha kumsaka Redds Miss Iringa kinatarajia kufanyika Juni 20 mwaka huu baada ya aliyekuwa mratibu wa kwanza Mohamed Mcholeka kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kushindwa kufanyika Juni 6 kama lilivyopangwa mwanzoni na Tanzania Daima kuwa la kwanza kuripoti kuhusiana...
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU
10 years ago
MichuziTABATA KISIWANI WAJIANDAA NA SHEREHE ZA UBINGWA WA YANGA JUNI 16 MWAKA HUU.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-NzQi1Ro_eo4/U0VdyPc2rKI/AAAAAAAFZfE/ueBdpd75hGI/s72-c/Misstabata.jpg)
Miss Tabata kutambulishwa Pasaka Da West
![](http://1.bp.blogspot.com/-NzQi1Ro_eo4/U0VdyPc2rKI/AAAAAAAFZfE/ueBdpd75hGI/s1600/Misstabata.jpg)
Warembo watakaoshiriki kwenye kinyang’anyiro cha kusaka malkia wa Tabata, Redds Miss Tabata 2014, watatambulishwa siku ya sikukuu Pasaka katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga amesema jana kuwa utambulisho huo utaenda sambamba na uzinduzi wa Miss Tabata 2014.
Kapinga alisema kuwa wapenzi wa urembo watapata fursa ya kuwaona warembo hao siku hiyo kabla ya kushiriki kwenye shindano la Redds Miss Tabata ambalo limepangwa kufanyika...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Warembo 16 kuonyeshana kazi Miss Tabata
WAREMBO 16 wanatarajiwa kushiriki kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta Miss Tabata 2014 ambacho kimepangwa kufanyika katika Ukumbi wa Da’ West Park jijini Dar es Salaam Juni 6. Mratibu wa shindano hilo,...
11 years ago
GPLWASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9kgAfEZS5c8/U4BYDENu_ZI/AAAAAAAFkt0/QUJ-Ja_IdAQ/s72-c/unnamed+(11).jpg)
16 kushiriki fainali Miss Tabata June 6
![](http://3.bp.blogspot.com/-9kgAfEZS5c8/U4BYDENu_ZI/AAAAAAAFkt0/QUJ-Ja_IdAQ/s1600/unnamed+(11).jpg)
Mratibu wa shindano hilo Joseph Kapinga alisema jana kuwa warembo hao wamepatikana baada ya kufanya mchujo iliyojumuisha warembo 40.
Kapinga aliwataja warembo watakaoshiriki kuwa ni Esther Frank Kiwambo (20), Mercy Mathias Kazula (19), Lydia Charles (22), Nuru Omary Athumani (19) na Happyclarrice Wilson Mbahi (19).
Wenine ni...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Warembo 17 mazoezini Miss Tabata 2014
WAREMBO 17 wamejitokeza kushiriki shindano la kumtafuta Redd’s Miss Tabata 2014. Mratibu wa shindano hilo, Joseph Kapinga, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, warembo hao wanaendelea na mazoezi katika...
11 years ago
GPLTOP 5 MISS TABATA 2014 HII HAPA