Miss Tanzania 2012, JAT kusomesha albino 50
![](http://1.bp.blogspot.com/-omwdVUeIIsQ/U9-HUIpbkEI/AAAAAAAF8_0/0ryDt3th4Iw/s72-c/Brigitte+Alfred,+Miss+Tanzania+2012.jpg)
Taasisi ya ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred ijulikanayo kwa jina na Brigitte Alfred Foundation (BAF) ikishirikiana na taasisi ya Junior Achievement Tanzania (JAT) inazindua rasmi mafunzo ya ujasiriamali kwa jamii ya Albino. Akizungumza katika uzinduzi huo jana, Brigitte alisema kuwa taasisi yake kwa kushirikiana na JAT itaanza na mafunzo kwa albino 50. Brigitte alisema kuwa mafunzo hayo yanalenga sehemu kuu mbalimbali ambazo ni kujitambua (Life skills), kutathmini aina mbalimbali za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Miss Tanzania, JAT kusomesha albino 50
WALEMAVUwa ngozi (Albino) 50 wanatarajiwa kupewa mafunzo ya ujasiriamali kuanzia Agosti 18, jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanaratibiwa na Taasisi ya Brigitte Alfred Foundation (BAF) inayomilikiwa na aliyekuwa Miss...
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Miss Tanzania 2012 Brigitte aendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa albino
Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi mara baada ya kumaliza mafunzo ya usajisiriamali kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini.
Na Mwandishi wetu
Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) imeendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 50 wenye ulemavu wa ngozi.
Brigitte aliendesha mafunzo hayo kwa kushirikiana na taasisi ya Junior Achievement Tanzania yalifungwa jana kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa na kupambwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--cP_v7IvN30/Vco_gQrlh0I/AAAAAAAHwIE/CvLZZkaqaII/s72-c/unnamed%2B%252836%2529.jpg)
IBF Africa, Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred waandaa ngumi za kulipwa kuchangia albino
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
Mshindi Miss East Afrika 2012 ashitaki waratibu
MSHINDI wa shindano la ‘Miss East Afrika 2012’, Joselyn Maro amepiga hodi Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) akilalamikia kutokabidhiwa nakala muhimu za zawadi yake ya gari. Mrembo huyo alisema...
11 years ago
Michuzi16 Mar
MISS TABORA 2012 ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO NA KUFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-WSqgkt0mmvA%2FUySOuem0EyI%2FAAAAAAAAD7o%2FH-wgpLcdTro%2Fs1600%2FIMG_7128.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-6TQLJBIm8As%2FUySOVwojIwI%2FAAAAAAAAD7M%2Fz__ZsjR4Tr0%2Fs1600%2FIMG_7110.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-7Cgkl8v-gtw%2FUySOV0aLM7I%2FAAAAAAAAD7I%2FwQa0iByw7d4%2Fs1600%2FIMG_7111.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-yMzFAeLwdLM%2FUySOh523OSI%2FAAAAAAAAD7k%2FsJsaJAVjkeI%2Fs1600%2FIMG_7120.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-YzDNVVtEoQs%2FUySNm5TQbfI%2FAAAAAAAAD5o%2Fmo13dFLdnug%2Fs1600%2FIMG_7046.png&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Tanzania yasaidiwa kusomesha wataalamu wa gesi
UMOJA wa Ulaya umeisaidia Serikali ya Tanzania katika sekta ya elimu kwa lengo la kupata wataalamu katika sekta ya gesi na petroli ambao kwa sasa wapo wachache. Waziri wa Nishati...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png?width=640)
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014!
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AtakEkre-ow/U93K-jLxw0I/AAAAAAAF8i0/j4Dvl5s2MfE/s72-c/unnamed+(10).jpg)
MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKABIDHI MACHINE YA KUHESABU CD4 ILIYOIBIWA APRIL 2012 WILAYANI MOMBA, TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-AtakEkre-ow/U93K-jLxw0I/AAAAAAAF8i0/j4Dvl5s2MfE/s1600/unnamed+(10).jpg)
MHE BALOZI GRACE MUJUMA AKIMKABIDHI MACHINE DR. NICOLAUS MBILINYI MGANGA MKUU WA WILAYA (DMO) YA MOMBA ILIYOKUWA IMEIBIWA MWAKA 2012. KUTOKA KUSHOTO NI DEREVA ALIYEKUJA KUCHUKUWA MACHINE, DR LAWRENCE MWAMPASHI (DISTRICT AIDS CONTROL COORDINATOR)...