Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISS TABORA 2012 ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO NA KUFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Mrembo Sarah Paul aliposhiriki furaha yake ya siku ya kuzaliwa na watoto wa kituo cha TZ 820 FPTC NG'AMBO STUDENT CENTER - Kilichopo Tabora. Kila mmoja alipata nafasi ya kufurahia keki iliyoandaliwa maalumu kwa watoto hao. Baadhi ya vitu alivyowaandalia watoto hao na kuvikabidhi kwenye shirika hilo. Sarah Paul, mshindi wa shindano la urembo la Redds Miss Tabora 2012, ambaye pia mwaka jana alishiriki katika shindano hilo hadi kufikia fainali za Miss Tanzania. **** Leo katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY JIJINI DAR ES SALAAM

 Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata  keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha  Salvation Army jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya  siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi  watoto hao. Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha  Keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati  alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha  Salvation Army...

 

10 years ago

Vijimambo

CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA


Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo

Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: B 12 wa Clouds FM alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima

July 22 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mtangazaji wa kipindi cha XXL Hamis Mandi aka B12. B dozen aliamua kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto yatima wa kituo cha ‘Chakuwama’ kilichopo Sinza Meeda, kwa kufuturu pamoja na kukata keki pamoja nao, huku nakiwa amesindikizwa na Bob Juniour, Shilole na wengine..

 

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM OLIVIA SANARE ATUMIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA

Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Miss Ilala 2014 ashiriki chakula cha mchana na Watoto wa Kituo cha Mwana Orphans Centre

Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha mikono watoto yatima wa kituo cha Mwana Orphans Centre kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam katika hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika katika hoteli ya Cape Town Fish Market.  (Picha na John Dande)Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwagawia chakula watoto wanaolelewa na kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingungutijijini Dar es Salaam katikahaflayachakula cha mchanailiyofanyikajuzikatikahoteliya Cape...

 

10 years ago

Michuzi

Mhe Pindi Chana atembelea kituo cha kulelea Watoto

Habari na picha na Hassan Mabuye  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana amefanya ziara ya kutembelea kituo cha kulelea Watoto Wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kwa lengo la kuangalia maeneo ambayo yanahitaji maboresho pamoja na kujionea hali halisi ya uendeshaji wa vituo vya kulelea Watoto. Katika ziara hii Mheshimiwa Naibu Waziri alitembelea kituo cha Malezi na Makuzi ya watoto Kilichopo katika kata ya Mtambani Mlandizi jumatatu tarehe 27 Aprili 2015,...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Arusha

Mapema jana staa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu aliwatembelea watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Good Hope Orphanage kilichopo maeneo ya Usa-River jijini Arusha ambapo staa huyo alitoa msaada wa chakula na vitu mbalimbali kwa watoto hao.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima alizoziweka kwenye ukurasa wake intsgaram.

Mungu akuzidishie moyo wa huruma Wema Sepetu

 

10 years ago

Vijimambo

QUEEN ASHSEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NDANI YA KIOTA CHA SAFARI


Queen (kati aliekaa) akipata picha ya pamoa wakati alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya kiota cha Safari kilichopo Washington, DC.
Queen wapili toka kushoto akiwa na marafiki zake akipata picha ya pamoja na marafiki  siku ya Jumamosi Desemba 27, 2014 alipokua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.Queen akiwa na marafiki zake.Queen na rafiki yake.kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

10 years ago

Michuzi

ZITTO ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WALEMAVU WA NGOZI, MACHO NA MASIKIO SHINYANGA

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na mtoto mwele ulemavu wa ngozi kwenye kituo cha kuwahifadhi cha Buhanginja Mkoani Shinyanga janaMwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, katikati akiwa na viongozi wenzake Taifa  wakitembelea mabweni  kwenye kituo cha  Buhanginja Mkoani Shinyanga 



Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, akizungumza na watoto walemavu wenye albinism,walemavu wa macho na kusikia waliopo kwenye kituo cha kuwahifadhi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani