Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: B 12 wa Clouds FM alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima

July 22 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mtangazaji wa kipindi cha XXL Hamis Mandi aka B12. B dozen aliamua kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto yatima wa kituo cha ‘Chakuwama’ kilichopo Sinza Meeda, kwa kufuturu pamoja na kukata keki pamoja nao, huku nakiwa amesindikizwa na Bob Juniour, Shilole na wengine..

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM OLIVIA SANARE ATUMIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA

Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

CloudsFM

MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, HUSNA ABDUL ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KATIKA HOSPITALI YA AMANA.

MTANGAZAJI wa Clouds kupitia kipindi cha Leo Tena Husna Abdul jana alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika Hospitali ya Amana ambako alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.Husna Abdul ambaye pia ameteuliwa kuwa BALOZI WA KUJITOLEA WA WATOTO katika hospitali hiyo, leo aliambatana na wafanyakazi wa Clouds, wasanii wa muziki, wadau na wasikilizaji wa clouds.Husna alitoa misaada ya vifaa tiba katika wodi ya wazazi katika hospitali hiyo ya Amana, kama sehemu ya maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.Kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MISS TABORA 2012 ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO NA KUFURAHIA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Mrembo Sarah Paul aliposhiriki furaha yake ya siku ya kuzaliwa na watoto wa kituo cha TZ 820 FPTC NG'AMBO STUDENT CENTER - Kilichopo Tabora. Kila mmoja alipata nafasi ya kufurahia keki iliyoandaliwa maalumu kwa watoto hao. Baadhi ya vitu alivyowaandalia watoto hao na kuvikabidhi kwenye shirika hilo. Sarah Paul, mshindi wa shindano la urembo la Redds Miss Tabora 2012, ambaye pia mwaka jana alishiriki katika shindano hilo hadi kufikia fainali za Miss Tanzania. **** Leo katika...

 

10 years ago

Vijimambo

HON:MWIGULU NCHEMBA AMETIMIZA MIAKA 40,ATUMIA SIKU YAKE KUCHANGIA DAMU,KUSALIMIA WATOTO YATIMA NA KUJULIA HALI WODI YA AKINAMAMA MWANANYAMALA

Mh:Mwigulu Nchemba hii leo ametimiza miaka 40 ya Kuzaliwa kwake.Mwigulu Nchemba akiwasili Hospitali ya Mwananyamala kwaajili ya Kutembelea na kusalimia Wodi ya wazazi kama sehemu yake ya Kusherekea siku ya Kuzaliwa(Miaka 40).Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Mwananyamala hii leo tar.07.01.2015.Mh:Mwigulu Nchemba akimsalimia mtoto aliyepatwa na tatizo la kuungua moto.Mh:Mwigulu akisikiliza kwa makini mahitaji ya wodi ya akinamama kutoka kwa Mganga mkuu...

 

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Clouds FM Da’Huu asherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutoa msaada Amana

Mtangazi wa Clouds FM kupitia kipindi cha Leo Tena, Husna Abdul aka Da’Huu akiambana wa wasanii wa muziki ameshereekea siku yake ya kuzaliwa weekend hii katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali. Husna Abdul ambaye pia ameteuliwa kuwa BALOZI WA KUJITOLEA WA WATOTO katika hospitali hiyo, aliambatana na […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO

Wastara akiwapa zawadi ya bethdei kwa wanawake waliojifungua. …akiwafariji wakina mama waliofiwa na watoto wao baada ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani