Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IBF Africa, Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred waandaa ngumi za kulipwa kuchangia albino

Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) na kampuni ya Kango wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa kwa kushirikisha mabondia nyota duniani.Mapmbano hayo yamepangwa kufanyika Novemba 28 kwenye ukumbi wa Mlimani City na lengo lake kubwa ni kutafuta fedha za kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).Rais wa IBF Africa, Onesmo Ngowi alisema kuwa siku hiyo imepewa jina la  “knock out albinos...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Miss Tanzania 2012 Brigitte aendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa albino

1

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi mara baada ya kumaliza mafunzo ya usajisiriamali kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini.

Na Mwandishi wetu

Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) imeendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 50 wenye ulemavu wa ngozi.

Brigitte aliendesha mafunzo hayo kwa kushirikiana na taasisi ya Junior Achievement Tanzania yalifungwa jana kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa na kupambwa...

 

10 years ago

Bongo5

Brigitte Alfred amtetea Miss TZ 2014, Sitti Mtemvu, ‘likikuchosha taji lilirudishe tu mpendwa’

Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred amemtetea Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ambaye tangu ashinde amekuwa akikosolewa kuwa hakustahili na kwamba alidanganya umri wake. Brigitte ametumia mtandao wa Instagram kuandika kile anachokiona kuwa ni uonevu kwa Mtemvu anayepokea matusi ya kila aina. “Mazuri mengi yanawapita, but when it’s something scandalous mnadiscuss forever!Ndio maana hatuendelei. I wish […]

 

11 years ago

Michuzi

Miss Tanzania 2012, JAT kusomesha albino 50

Taasisi ya ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred ijulikanayo kwa jina na Brigitte Alfred Foundation (BAF) ikishirikiana na taasisi ya Junior Achievement Tanzania (JAT) inazindua rasmi mafunzo ya ujasiriamali kwa jamii ya Albino. Akizungumza katika uzinduzi huo jana, Brigitte alisema kuwa taasisi yake kwa kushirikiana na JAT itaanza na mafunzo kwa albino 50. Brigitte alisema kuwa mafunzo hayo yanalenga sehemu kuu mbalimbali ambazo ni kujitambua (Life skills), kutathmini aina mbalimbali za...

 

10 years ago

Michuzi

Brigitte Alfred Foundation yasherehekea mafanikio ya Vijana

Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya BAF (Brigitte Alfred Foundation) na Miss Tanzania 2012,Bi. Brigitte Alfred akimtumza mmoja wa vijana wenye ulemavu wa ngozi (albino) ambao wako chini ya Taasisi hiyo,aliekuwa akighani shairi alilolitunga,wakati wa hafla ya kusherehekea Mafanikio ya Vijana hao iliyofanyika leo kwenye Viwanja Makumbusho,Jijini Dar es Salaam.Taasisi ya BAF kupitia Mpango wake wa JA (Juniour Achievement) imeweza kuelimisha vijana 50 wenye ulemavu wa ngozi katika mpango wa kutoa...

 

9 years ago

Michuzi

Taasisis ya Brigitte Alfred yajenga Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo Buhangija Mkoani Shinyanga

Jengo la Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga, lililojengwa kwa ufadhili wa Taasisis ya Brigitte Alfred, Bi. Brigitte Alfre, muda mfupi kabla ya Uzinduzi rasmi wa Bweni hilo.Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe (katikati) akizungumza na mmoja wa wasimamizi wa kituo cha Shule ya Buhangija Mkoani Shinyanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Bweni la Watoto wenye ulemavu wa ngozi wa kituo hicho, lililojengwa na Taasisis ya Brigitte...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu waula ngumi za kulipwa

Watanzania watatu wameteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali kwenye Shirikisho la Ngumi za Kulipwa la Afrika Mashariki na Kati (ECAPBA) uteuzi uliofanyika kwenye kikao cha mabadiliko cha ECAPBA kilichofanyika hivi karibuni jijini Kigali nchini Rwanda.

 

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA NGUMI ZA KULIPWA TPBC CHATOA MAFUNZO KWA MAREFARII

Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kushoto akiwaelekeza baadhi ya marefarii waliojitokeza katika mafunzo hayo yaliyo andaliwa na chama cha ngumi za kulipwa TPBC yaliyoanza Ilala CCM Dar es salaam juzi na kumalizika jumamosi  hii Mkufuzi wa mafunzo ya waamuzi wa mchezo wa masumbwi Ally Bakari 'Champion' kulia akisisitiza jambo kwa wakati wa mafunzo hayo uku marefarii waliojitokeza wakimsikiliza kwa makini kutoka kushoto ni Kondo Nassoro, Sako Mtlya na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miss Tanzania, JAT kusomesha albino 50

WALEMAVUwa ngozi (Albino) 50 wanatarajiwa kupewa mafunzo ya ujasiriamali kuanzia Agosti 18, jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanaratibiwa na Taasisi ya Brigitte Alfred Foundation (BAF) inayomilikiwa na aliyekuwa Miss...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani